Mercenary Army
JF-Expert Member
- Jun 2, 2017
- 296
- 687
[emoji1241]
Atakumbukwa kwa maendeleo aliyoyaleta kwa kipindi kifupi akiwa madarakaniKiukweli hayati Magufuli tutamkumbuka milele
1. SGR
2. Bwawa la Nyerere
3. Treni ya Moshi
4. Meli
5. Ndege
6. Barabara
7. Wabunge wa Chadema waliounga juhudi
8. Uwanja wa ndege Chato
9. Uwanja wa ndege Nduli Iringa
10. Soko la Ndugai
11. Stendi ya Magufuli mbezi
12. Nk....nk
RIP JPM
Kurudisha nidhamu katika utumishi wa ummaKufufua MSCL
Kuanzisha TASAC & LATRA
Kufufua TTCL
Kufuatilia hisa za serikali Airtel
Usimikaji wa rada
Kufufua ATCL
Kubadilisha mikataba ya madini
Upanuzi wa barabara ya Morocco Mwenge & Kimara Kibaha
Stendi ya Nyegezi & Nyamuhongolo - Mwanza
Uanzishaji wa mbuga ya Chato Burigi
Hakukuwa na ujangili
Ujenzi wa gati na panuzi wa bandari katika bandari za Dar, Tanga, Mtwara, Mafia, na nk
Ujenzi wa meli
Daraja jipya la mto wami