Hapa duniani maisha ni mafupi tujitaidi tule bata

Hapa duniani maisha ni mafupi tujitaidi tule bata

Ushindwe maisha ni mafupi kwako lkn kwangu ni marefu maana Mungu ametuleta duniani tuishi tumwabudu sasa unaposema maisha ni mafupi unajitabiri kifo mwombe Mungu akusamehe kwa hilo
Ni mafupi miaka 70 unaona ni mingi na ukiondoka ndio kwaheri acha kutuadaa
 
watu tunaenjoy ngoja nikaekitaalamu niendeleee kuenjoy
 
Kula bata ni dhambi mother?Yani nikila vizuri,nikilala sehemu nzuri yenye hadhi na utulivu,mavazi mazuri na usafiri mzuri na comfortable hapo nakua nimefanya ubatili upi wajameni
Nilikuwa najiuliza pia.
 
Nilikuwa najiuliza pia.
Hukumu rahisi tu kuikwepa, maana maelezo yanasema nilikuwa mgonjwa ukaja kunitazama, nilikuwa kifungoni ukaja kunitembelea, nilikuwa na kiu ukaninywesha, nilikuwa na njaa ukanilisha, nilikuwa ni uchi ukanivika lolote ulilowatendea wadogo hawa ulinitendea mimi. Kwa walevi kunywesha na kulisha hawana shida sana labda huko kwingine
 
Na wewe kwanini ukajengee barabarani au bila kufuata ramani, wasiwasi ni sawa na kutembea na mwamvuli kila siku huku ukidhania mvua itanyesha
Unapafika 60 yrs then nyumba ibomolewe bila fidia ndo utajutaa
 
Ila usisahau tuu,.pamoja na hayo yote Mungu atakuitia hukumuni,hivyo ukiwa unalila hilo bata ukumbuke pia kuzitengeneza njia zako ili uufikie uzima wa milele..kwa maana mambo yote ni ubatili,naam ni ubatli mtupu na kujilisha upepo.
Asante mpendwa katika Bwana....Tujitengenezee njia huku twala bata eti?
 
Uzi wa Injili huu🤗🤗...!mama wachungaji na Maaskofu nawazoom tu🤗🤗
 
Ila usisahau tuu,.pamoja na hayo yote Mungu atakuitia hukumuni,hivyo ukiwa unalila hilo bata ukumbuke pia kuzitengeneza njia zako ili uufikie uzima wa milele..kwa maana mambo yote ni ubatili,naam ni ubatli mtupu na kujilisha upepo.
Mungu alikua anauwezo wa kuziondoa starehe ila kaziweka ili tu enjoy hatukuja duniani kupata shida hata yesu kule kana alibariki maji yakawa pombe na wanafunzi wake wote walikuwepo.Mungu anakusudi lake kuziweka starehe ujue hata ngono alikua anauwezo kutufanya tuwe kama wanyama yani tufanye tunapotaka kuzaana tu ndio mana mbuzi anaiona mbunye hii lakini hana mpango yao ni maajabu ya mungu ameyatenda
 
Kula bata ni dhambi mother?Yani nikila vizuri,nikilala sehemu nzuri yenye hadhi na utulivu,mavazi mazuri na usafiri mzuri na comfortable hapo nakua nimefanya ubatili upi wajameni
we jamaa umenichekesha umelalamika kwa uchungu ha ha ha ha ha ha
 
Ila usisahau tuu,.pamoja na hayo yote Mungu atakuitia hukumuni,hivyo ukiwa unalila hilo bata ukumbuke pia kuzitengeneza njia zako ili uufikie uzima wa milele..kwa maana mambo yote ni ubatili,naam ni ubatli mtupu na kujilisha upepo.

Amen.
 
Mimi kuishi milele sipendi kwa kweli labda kama tutabadilishiwa ubongo usiowaza haya tunayowaza maana ni tabu tupu, nilisikiliza juzi Mahubiri ya Mchungaji wa kisabato alisema Mungu sio mtu wa chuki kiasi kwamba tutachomwa kwenye moto wa milele ila tutachomwa mara moja na story yetu ndio itaishia hapo. Nilifurahi sana kwa kweli kama maumivu ya kuchomwa yatakuwa ya muda mfupi mpaka uteketee nitaishi kawaida tuu, sitafanya baya la kumuumiza mtu wala kumkera ila nitaishi kutokana na nafsi yangu inavotaka simple kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom