Elections 2010 Hapa city katikati kuna nini? Naona wachakachuaji (FFU) wanapita Ohio Str mbio!

tin_shack.jpg
...Sasa huo mkwara wa nini?? Wakitoka huko wanaenda kuokwa kwenye nyumba zao za bati...
 
njia pekee ya kukiondosha Chama Cha Majangili ni kutenganisha DOLA(nikimaanisha serikali na SIASA)
Swali;je? tutumie njia gani.

Maoni binafsi;je? tuandamane bila kikomo kama walivyofanya THAILAND na KAZKANISTAN.Kwani bila kufanya hivyo tutakuja tawaliwa hata na wajukuu zao,kwani hamkusikia yaliyotokea kwenye uchaguzi maskauti wa Chama Cha Majangili?
katoto(hakajafika 15yrs) ka MKWERE kalishinda kwa kishindo kwa kutoa rushwa ilhali hata siku ya uchaguzi hakuhudhuria?
Huo utumbo waufanyao FFU,NEC kama hawanazo ni matokeo ya dola kuchakachuliwa na Chama Cha Majangili?????!!!!
 
Mkiweza msikilizeni Fela na wimbo wake ''Shuffling and smilling'' kuhusu hawa jamaa...eti moja mbili tatu moja...hesabu gani hizi?

watch
 
...Sasa huo mkwara wa nini?? Wakitoka huko wanaenda kuokwa kwenye nyumba zao za bati...

Mimi hapo huwa ndio nachokaaa kabisa !!!! Hivi kweli serikali ya CCM miaka yote hio hili swala hawalioni !!
Hata kwa shingo upande wawajali maana wanawatumia sana katika kulinda mambo yao... Khaaa.
 
wanakwenda kusimamia kama chadema wataleta fujo..............Fanya Fujo Uone (FFU)
 
Bwa hah haaha haaha haaaaaa! Hapa umenena mkuu!!

Asante Mkuu! Hawa jamaa zetu wanaudhi sana bwana. Badala ya kuwa wakali kwenye mambo ya msingi wao wako bz kuwachimbia mkwara kaka zao, dada zao, mama zao, baba zao, wadogo zao na kadhalika huku Vibaka wanachukua nchi!
 
Safari ya ushindi imefika mwisho mbona wengine wamekimbia hapa JF.Wako wapi?

Wale wa Dr Slaa na Lipumba Safari yao imefika mwisho wa Kikwete Safari yao inaendelea.

oooooooooooooh tujipe pole tutajaribu tena Uchaguzi mkuu ujao.
 
Nasikia Dr Slaa anaapishwa Karimjee

Ushindi wa kikwete ulitegemewa na wengi

wanakwenda kusimamia kama chadema wataleta fujo..............Fanya Fujo Uone (FFU)

Natumaini Dr Slaa atakuwepo wakati wa kutangaza mshindi

Safari ya ushindi imefika mwisho mbona wengine wamekimbia hapa JF.Wako wapi?

Wale wa Dr Slaa na Lipumba Safari yao imefika mwisho wa Kikwete Safari yao inaendelea.

oooooooooooooh tujipe pole tutajaribu tena Uchaguzi mkuu ujao.

Huna hata aibu
 
utakakoishia wewe napajua huna mda humu ndani
 
Nishapata taarifa wanaenda kwenye fainali ya chakachua yao..... kutangaza mgombea aliyepitishwa kwa kura za Usalama wa CCM ooh Taifa..

Unaturudisha nyuma mbona jana Usalama wa Taifa wamesema Dr Slaa atoe ushahidi wa kuwahusisha na kuchachua yuko wapi? Wamesema pengine anaokoteza Maafisa Usalama barabarani wanamdanganya wao hawafungamani na chama chochote.

Tunangoja Dr Slaa kujibu kama anao ushahidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom