Elections 2010 Hapa city katikati kuna nini? Naona wachakachuaji (FFU) wanapita Ohio Str mbio!

hao ni vilaza tu,hadi siku watakapo jua haki zao ni zipi basi watabadilika na watafanya kazi kwa ajili ya wananchi lakini kwa sasa bado sana.:rip:
 
Unaturudisha nyuma mbona jana Usalama wa Taifa wamesema Dr Slaa atoe ushahidi wa kuwahusisha na kuchachua yuko wapi? Wamesema pengine anaokoteza Maafisa Usalama barabarani wanamdanganya wao hawafungamani na chama chochote.

Tunangoja Dr Slaa kujibu kama anao ushahidi

Kwani hukumsikiliza Dr. Jana? Alishasema wahende mahakamani ila kwa ufupi akatoa mfano wa Afisa mmoja huko Karatu, aliyekuwa anataka numba za vituo ziwekwe kwenye masanduku! Au ndio TV zenu wanawachagulia hadi nani wa kumsikiliza? TBC hawa kuweka hii jana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom