Hapa bongo kuna watu wanaishi kama Ulaya

Sema huna tekiniki za secret photographing pengine nikuelekeze iwapo unahitaji

Hapo nmejitahid san mlinz alikuw ananiangalia niliact km naongea na cm ndio nikabonyeza sas hiyo technic cjui ungenipa ip hapo
 
Kabisa mkuu, yaani nilijifunza kwamba usione mtu anaponda raha ukadhani anatafuta kihalali hizo pesa

Mkuu kuna sehem tanga nilisimuliwa na jamaa ambae ni jamaa ake kuwa alipata utajiri kwa kupigwa dushe na beberu
 
Sehemu kama vijibweni ni eneo bora sana, tatizo halikupimwa watu wamejikatia viwanja ovyo ovyo imekuwa uswazi.

Wapemba wengi naona ndio wamekimbilia huko.

Mkuu sisi huku tunataka kuhamishwa na taifa gase ila nmependa sana mazingira ya vijibweni huku kidongoni
 
Imani za kijinga,yaani Mungu akunyime ukwasi kwa vile utajiua?sasa kwanini asizuie hicho kifo,na akupe mihera kibao,
Utakiwi kushukuru kama hujatafuta
Yaani anataka kuaminisha watu waishi maisha ya kukosa pesa kisa watakufa mapema! Hizi ni kauli za kimasikini na kukatishana tamaa.

Kifo ni fumbo kubwa sana kuna wanaozaliwa wakiwa wamekufa, wanaoishi siku moja n.k kwa hiyo kujipa matumaini ya kupenda kuishi kiugumu ilihali kila siku unaamka langoni kwako kwenda kuitafuta liziki itokanayo na pesa ni kujidanganya nafsi.

Kwa nini usiache kila kitu kije chenyewe? Nani alikwambia ukiishi kiugumu utaishi milele?
 
Kama nakuona vile mapigo Haile Selassie fulani hivi, mpaka bustani zinahudumiwa na wafungwa!

Kuna mshkaji fulani kwao ilikuwa hivyo, yule mfungwa alikuwa anakula good time pale nafikiri alikuwa anaomba asihamishwe.
Daahh..
Ile nyumba nakumbuka ilitokea ishu ya mapenzi, risasi zikawaka ndani, miaka ya 90,
Tulizisikia mchana kweupe...
 
Mitaa yangu ya kujidai hiyo.
Duuh Kweli kabisa
Tulikuwa tunakaa Haile Sellasie road kabla ya IST, miaka 30 iliyopita , kulikuwa Oysterbay kweli
Nilivyopita 2018, mtaa mzima umejaa vigrocery na vipub kama uswahilini, halafu barabara zimechoka kinoma,
 
Mwenyezi Mungu yeye ndie humpa amtakae

Angalia wa chini yako ushukuru usiangalie wa juu yako utakufuru

Wako wengine ulichonacho wewe hawana na wako na mitihan shida maradhi njaa vita nk

Tafuta maisha uwe na wivu wa maendeleo ila usiwe na kinyongo kwa nini hukupewa wewe
 
Kuna sehemu Kuna majumba yamejificha misituni huki dar. Nayo ni makongo juu.


Huku hapajulikani Sana labda kwa sababu ya barabara ya makongo ilivyo mbovu ( kwa Sasa naona inajengwa). Ila Kuna majumba ya kifahari mengi kinyama
 
Back
Top Bottom