Hanstone atatoboa nje ya WCB?

Nandi na Ali Kiba wana pesa ya kula tu, acha uongo.
Unatia aibu kwa kutokujua na kuongea usichokijua kwa alikiba yupo simpo ingawa anamjengo wake but nandy anahela sema hajitangazi kama hao wauswahilini nakupa hilo
 
miaka 4 unasubiri nini kumsaimisha mtu!!!!

kufubaza morali za watu tu.
Penye nia pana njia, walikaa hiyo miaka na matokeo wakatoka wameiva kisawasawa.
Matokeo yanajidhihirisha dhahiri.
 
Unatia aibu kwa kutokujua na kuongea usichokijua kwa alikiba yupo simpo ingawa anamjengo wake but nandy anahela sema hajitangazi kama hao wauswahilini nakupa hilo
Acha uongo, Ali ni mtu wa kutamba mno ila realities on the ground zinamfanya ashindwe mambo mengine.
Na Nandi, inaonekana mnawajua kupitia story za vijiweni.
Wana pesa za kubadilisha mboga tu, mngejua real life yao mngeona hata aibu kuwapa sifa wasizostahili.
 
Basi tulia coz hujui chochote kwa nandy
 
Back
Top Bottom