Hanstone aachia EP nje ya WCB.....aacha maswali mengi

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
1,131
2,000
Wakati watu wanasubiria msanii anaefatia kutambulishwa WCB ni Hanstone yule wa kwenye Iokote.

Muda sio mrefu ameachia EP yake bila kuwa chini ya management ya WCB Wasafi.

Maswali yamekuwa ni mengi sana.

Je ameshindwa kuvumilia msoto wa benchi kama mwenzie Zuchu?

Au WCB walichoka matukio yake ya utovu wa nidhamu?

Au nini kimetokea?

IMG_20211007_081504.jpg

Soon nawajuza kila kitu.
 

Zidani

JF-Expert Member
Apr 5, 2021
970
1,000
Wasanii wadogo Kama hawa inabidi wajifunze kitu msanii mkubwa anapoachia Album inabidi yeye binafsi ajiweke kando asiachie iwe Album au EP yake at least kwa miezi miwili au mitatu sasa jana Alikiba kaachia Album na yeye anaachia EP leo Kama sio ujinga ni nini.
 

Amorbwoy

JF-Expert Member
Mar 30, 2013
639
500
Hahahaha kama ni kufanya biashara ya music basi hajui anachotaka... unapata bahati ya kusainiwa WCB then unazingua aangalie label zingine kina ibra sijui ki2ga mpaka leo wameshindwa kutoka

Kwaiyo unataka kutuaminisha WCB tu ndio leo inayotoa wasanii? Au ili utoboe ki mzik lazima uwepo WCB?
 

Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
14,025
2,000
Wakati watu wanasubiria msanii anaefatia kutambulishwa WCB ni Hanstone yule wa kwenye Iokote.

Muda sio mrefu ameachia EP yake bila kuwa chini ya management ya WCB Wasafi.

Maswali yamekuwa ni mengi sana.

Je ameshindwa kuvumilia msoto wa benchi kama mwenzie Zuchu?

Au WCB walichoka matukio yake ya utovu wa nidhamu?

Au nini kimetokea?


Soon nawajuza kila kitu.
Nchi kama Tanzania inabidi kujivunia sana kuwa na mwanamuziki kama ALIKIBA.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom