Haniridhishi jamani

Haniridhishi jamani

Hiyo ni cha mtoto, KIBOKO Y MAMBO ni KAMIKAZE... Una MIX John Walker Red label, Vodka Sminoff, Gordons Gin, Bacard na Tequiler. You just mix one tort each halafu unaweka barafu kisha una top up na coca cola....
Hapo ukiingia kwenye game, tafrani mtindo mmoja.......................

Hahahahaaaaa! Mtambuzi UMETISHAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!! Aisee kumbe vituzz za COCTAIL zinaendelea!!! Ni nomaaaa! Hiyo concentratio si maini yanafuka moshi!!!!!!!!!! Aisee umenikumbusha mbali sana enzi zetu za nani mkali? Vituz zinmwagwa kwenye bakuli changanya changanya afu mnajidungaaa! HAKUNA NYOTA UNAACHA KUIONA!!!! Aiseee ndo maana wanafunzi wa dsm wanafeli sana. Hiyo kitu wanatengeneza bar gani niizukie siku nikazimue mizimu? LOLEST!
 
Halafu ukishapata hiyo kitu unamalizia na kitu CHALATI au ukikosa hiyo kitu unajipatia Msuba.....Maaama weeeeee.... maji utaita MMA
 
Wewe umefanya juhudi gani kumsaidia?
* ina wezekana alikuwa na hamu sana.

ngugu zangu mimi ninamchumba ambae ameshajitambulisha kwetu nami kanitambulisha kwao sasa wakati tunatoka kwao Tabora vijijini ilitubidi tulale mjini ili kesho yake tuje arusha sasa bwana katika hali ya kibinadam tu tukawa tumeshiriki kimapenzi ndugu zangu haniridhishi kabisa yaani tukishikana dudu yake ikichungulia tu kwangu kashashusha mzigo yaani namaanisha ( akiingiza chululu yake kwangu kabla hata haijaingia vizuri kwisha kazi )na kajalibu zaidi ya mala 3hali ni hiyo hiyo, jamani kweli nitaweza kuishi nae kama mume???? ushauri wa bure nifanyeje
 
Usijali atabadilika! Alikuwa ana hamu ya kufa mtu! Alipagawa na joto!

nilikua simbanii kwanza nimemuachia dudu yote nikategemea nimekutana na mtu mchapa kazi anaejua nini anafanya, bado nikafikiri ni mwanzo tu baadae atakaa sawa badae akaanza kunishika kwa mbwembwe ni kajua mwanajeshi kaingia vitani ikawa yale yale alafu ananiuliza umemaliza swty kidogo ni mtemee mate
 
Hahahaaaaaa! Punguza woga! I naonekana mtoto MTAMU SANA WEWE!!!!! Hiyo ni sababu KIPYA HAKINYEMI!!!! Akikuzoea itaishaaaa yenyewe!!!! Ingekuwa umemkuta ANAKIBAMIA KIDOGO hapo kweli, manake nothing could be repaired!!!!!!! LOL!

Huo ni usongo tu alikokuwa nao ndo uilomponza.

Bikra unajua vitu vingi wewe.
Samahani lakini.
 
Hiyo ni cha mtoto, KIBOKO Y MAMBO ni KAMIKAZE... Una MIX John Walker Red label, Vodka Sminoff, Gordons Gin, Bacard na Tequiler. You just mix one tort each halafu unaweka barafu kisha una top up na coca cola....
Hapo ukiingia kwenye game, tafrani mtindo mmoja.......................

Hapo mdau unaongeza na Konyagi ya moto mbona bidada atadata mixer jembe umeshika Kiuno unakula Mchezo inakua high speed 2 die n kilio 2 mtindo mmoja na kama umepanga inabidi uwe na Subwoffer ya kuongeza sauti wasisikie afu unafunga Kitasa Njiwa ackimbie
 
Kumbe waumini wa SBL na TBL tupo wengi aiseee! Mi nangojea walete extreme ya bier kama enzi za BIA BINGWA!!!! Hahahaahaaa! Hapo Mtambuzi ulikuwa hujaanza kutirirsha maji ya dhahabu, mi nilikuwa sec mwanzoni mwanzoni, kitu iliaibisha sana watu ile!!! Mpaka alidead mtu, kwenye mashindano ya kutirirsha! TBL ikuwaga miaka ile!!!!
 
Last edited by a moderator:

We binti shika adabu yako mie mkubwa bana.... Bingwa za juzi hapa mie nakula mshahara kabisa......!
 
inawezekana huyo anapita (kama jina lako)....., only kidding! Lakini pengine ni hali waliyonayo wanaume wengi ila si kawaida kama hizo mara 3 mlizojaribu kusigina amri ya 6 ni katika episode moja (yaani ilikuwa ni katika siku hiyo hiyo) au ni katika siku 3 tofauti..

Kama ni katika siku 3 tofauti, basi huyo ni kumuandaa kabla ya kutenda tendo hilo (lakini akishakuwa mume....., USIRUDIE KUTENDA DHAMBI HII) takuwa nachafua mashuka kwanza kama mara 2 au zaidi ndipo sasa muingie shughulini! Hujui tu si kama hakuridhishi wewe, ni hata yeye hafaidi hivyo msaidie kumuandaa kisaikolojia mtakwenda sawa. Kama huwezi kazi hiyo, basi mshauri atafute wataalam wampe ilimu!
 
Makubwa ndg kaa na mp wk mwaya mchane live yt yanayokusibu. Shauri yk mjin hapa
 
Dada Anna pita huyo Mnyamwezi wa Tabora km amechinja na shingo inaonekana fanya hivi mkishaoga ikamate vizuri na uiminyeminye km vile wakati wa kusukuma chapati halafu ile Koni itamwaga, hapo ukiipeleka kunako kona yake ni lazima itachelewa, ikiwahi rudia hako kamchezo, naona baada ya wiki atazoea mjengoni kulivyo
majibu usisahau kutupatia tukuchangie mchango wa Harusi, na je utampeleka kwa Ngaliba au ni kuvuta soksi kila kabla ..............
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni hali ya kawaida kwa mwanaume yeyote yule anayeanza kufanya mapenzi.
Shukuru kupata mwanaume wa aina hiyo, baadae atakuja kuwa sawa na kukupa dozi unazozitaka.
 
Pole sana, nimesoma mawazo ya wengi naona wamechukulia utani, nachokushauri ni kwamba umefanya vema kumpa mapema umjue mwenzio, mtafutie nafasi nyingine mpe ajaribu tena ukina hawezi kabisa, achana naye mapema utapata matatizo bure maishani, utakuwa unatoka nje ya ndoa baaadaye kwa jambo ambalo umeliona mapema liepuke mapema. Wengi watakusema ila wewe ndo unajua.
Mimi si daktari ila nafahamu vijana wengi wanatumia punyeto wakidhani ndo njia ya kujiepusha na ngono hadi waoe kumbe wanaharibu nguvu za kiume. Mulize huyo jamaa kama hapigi punyeto hadi kesho utaniambia mwongo. Tabia ya punyeto inadhoofisha mishipa ya damu kwenye uume pia inazoea mkono mgumu sasa ukiingiza ukeni anahisi laini sana anapiga bao haraka baada ya hapo hawezi kuendelea kwasabu amezoea kwenye punyeto ni goli moja tu.
Daktari anaweza kumsaidia kujitune upya kisaikolojia na pia kuandaa mwili kusubiri bao la pili au kudelay kidogo angalau akuridhishe na hiyo ni endapo ata stop punyeto na kujitambua haraka.

Naona wengi wameshauri anywe redbull na amarula au hicho kingine, si ushauri mzuri kuubeba kama mwenzio ni mkristo mwaminifu usimpoteze pia ukisema jambo kama hilo atakuona kumbe mnywaji.
 
Pengine huyo jamaa amekusbiri kwa muda mrefu na kwa hamu kubwa. hebu mpe muda uone, kama hajachenji basi aanze kufanya mazoezi kama huwa hafanyi, na baada ya mazoezi ya muda mrefu kama wiki mbili au tatu jaribu tena. kama mambo ni yaleyale upo ushauri mwingine wa kuifanyia hiyo nanii mazoezi.

ngugu zangu mimi ninamchumba ambae ameshajitambulisha kwetu nami kanitambulisha kwao sasa wakati tunatoka kwao Tabora vijijini ilitubidi tulale mjini ili kesho yake tuje arusha sasa bwana katika hali ya kibinadam tu tukawa tumeshiriki kimapenzi ndugu zangu haniridhishi kabisa yaani tukishikana dudu yake ikichungulia tu kwangu kashashusha mzigo yaani namaanisha ( akiingiza chululu yake kwangu kabla hata haijaingia vizuri kwisha kazi )na kajalibu zaidi ya mala 3hali ni hiyo hiyo, jamani kweli nitaweza kuishi nae kama mume???? ushauri wa bure nifanyeje
 
ngugu zangu mimi ninamchumba ambae ameshajitambulisha kwetu nami kanitambulisha kwao sasa wakati tunatoka kwao Tabora vijijini ilitubidi tulale mjini ili kesho yake tuje arusha sasa bwana katika hali ya kibinadam tu tukawa tumeshiriki kimapenzi ndugu zangu haniridhishi kabisa yaani tukishikana dudu yake ikichungulia tu kwangu kashashusha mzigo yaani namaanisha ( akiingiza chululu yake kwangu kabla hata haijaingia vizuri kwisha kazi )na kajalibu zaidi ya mala 3hali ni hiyo hiyo, jamani kweli nitaweza kuishi nae kama mume???? ushauri wa bure nifanyeje

Ni PM mdada.
 
safi sana ...huyo ndo mchumba bora sasa... anakuja jifunzia kwako... usimwache ng'oooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom