Haniridhishi jamani

nilikua simbanii kwanza nimemuachia dudu yote nikategemea nimekutana na mtu mchapa kazi anaejua nini anafanya, bado nikafikiri ni mwanzo tu baadae atakaa sawa badae akaanza kunishika kwa mbwembwe ni kajua mwanajeshi kaingia vitani ikawa yale yale alafu ananiuliza umemaliza swty kidogo ni mtemee mate
Aisee kwa namna ninavyowapelekeaga moto nikiona hivi huwa nasikitika sana
 
Hali ya kawaida kwa beginners atafute ushauri kwa wataalam mfadhaiko huo utaisha! Wengi huanza hivyo nina marafiki zangu wengi walikuwa na tatizo kama hilo incl mimi leo hii i can stay for 45 min. Ni pm kama nahitaji ushauri zaidi.
Huduma hii ni kwa wanandoa tu.........!
hahaha! tushauri wote mkuu, ni wengi watapona kwa kupitia ushauri wako.
 
nilikua simbanii kwanza nimemuachia dudu yote nikategemea nimekutana na mtu mchapa kazi anaejua nini anafanya, bado nikafikiri ni mwanzo tu baadae atakaa sawa badae akaanza kunishika kwa mbwembwe ni kajua mwanajeshi kaingia vitani ikawa yale yale alafu ananiuliza umemaliza swty kidogo ni mtemee mate

hakika uneniacha hoii
 
Hupitwiiii!!!! Hii kitu ya SMINORF UKIMIX NA AMARULA NASIKIA INAKUWA MATATA SANAAA!! JUZI KATI NILIKUWA A TOWN NDO NIKAKUTA NDO HABARI YA MUJINI KWA SASA HUKO!!! LOL!

Bado najipanga kuijaribu manake waliokuwa wanatengeneza hiyo chemical reaction ya CONCO SULPHIRIC ACID NA KUSHOOT DOUBLE DOBLE NI MICONCORD YA POMBE!!! Ila iligeuka nyonde nyonde Nimeogopa KUTAPIKA MAINI!!!!

Bado niko maabara najiandaa kutest! Mama nisipitwe siwezi kupitwa! LOL!
Mkuu sminolf ni whisky au wine na bei yake imesimamaje manake mm nakunywaga grants whisky.
 
Vipi mrejeshoo... miaka sasa imepitaaa!?? Jamaa aliwezaa kaziii alipokuoaa au ndo ulimtosaaa...?? Jamani muwe mnavumiliaa tuu kama ambavyo.unaweza vumilia mumeo au mpenzi waki asipokuwa na hela ipo siku atapataa... Sex sio chakulaa wew tulia ili mradi anakupenda
 
kusex ni mara ya kwanza lakini huwa tunakutana na kushikana na wakati romance haifiki hata dakika 2 tayari anakua ameshajikojelea kwenye suruali mi hii sijawai kuona aiseee!!!!
Habar za mda huuu kwanza nikupe ongera kwanza kumpata mtu ambae kwanza si mzoefu ambae unakwenda kumpa uzoefu ww kijana huyo hana tatizo lolote na nimwanaume kamili ila kosa lilitokea ni kwenu wote wawili timing kumbuka ushilikiano ndio jambo la msingi katika mapenz sasa unaweza mwachia pampuchi yako nawe ukakaa kama unasoma gazeti kiukweli hapo hutolizishwa na mtu wa aina yoyote ila kama unajua kumtim unakaa style mzuri,unakiweka kiuno kua laini kwa kukizungusha nazan kila mmoja atainjoi kile mnacho fanya mtambue mwenzi wako kisha mpe nafas kadhaaa utainjoi tuuu iyo zana ulio jijengea iondoe kabisa nashukuru kwa mada yako nzuri
 
nilikua simbanii kwanza nimemuachia dudu yote nikategemea nimekutana na mtu mchapa kazi anaejua nini anafanya, bado nikafikiri ni mwanzo tu baadae atakaa sawa badae akaanza kunishika kwa mbwembwe ni kajua mwanajeshi kaingia vitani ikawa yale yale alafu ananiuliza umemaliza swty kidogo ni mtemee mate
Anna pita uko nae kwa mda gani? pole sana
 
we ushasema unatafuta mwanamke mwenzio mkasagae ktk post yako ingine, sasa huyo ndo anakufaa
 
Sio wewe uliyekuwa unatafuta wanawake wenzio mkasagane baada ta kuona wanaume waongo? Hii tena imekaaje?
 
ngugu zangu mimi ninamchumba ambae ameshajitambulisha kwetu nami kanitambulisha kwao sasa wakati tunatoka kwao Tabora vijijini ilitubidi tulale mjini ili kesho yake tuje arusha sasa bwana katika hali ya kibinadam tu tukawa tumeshiriki kimapenzi ndugu zangu haniridhishi kabisa yaani tukishikana dudu yake ikichungulia tu kwangu kashashusha mzigo yaani namaanisha ( akiingiza chululu yake kwangu kabla hata haijaingia vizuri kwisha kazi )na kajalibu zaidi ya mala 3hali ni hiyo hiyo, jamani kweli nitaweza kuishi nae kama mume???? ushauri wa bure nifanyeje
Njoo nikupe dude... Utafurah nafsi yako
 
Munasema sana wanaume WA dar kumbe makando kando mkoani yan Huyo hata sekunde 30 kwake nyingi chakufanya mvumbe macho asiwe anakiona kitumbua maana akikiona ndio kinazidi kumchanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom