Haniridhishi jamani

Haniridhishi jamani

ngugu zangu mimi ninamchumba ambae ameshajitambulisha kwetu nami kanitambulisha kwao sasa wakati tunatoka kwao Tabora vijijini ilitubidi tulale mjini ili kesho yake tuje arusha sasa bwana katika hali ya kibinadam tu tukawa tumeshiriki kimapenzi ndugu zangu haniridhishi kabisa yaani tukishikana dudu yake ikichungulia tu kwangu kashashusha mzigo yaani namaanisha ( akiingiza chululu yake kwangu kabla hata haijaingia vizuri kwisha kazi )na kajalibu zaidi ya mala 3hali ni hiyo hiyo, jamani kweli nitaweza kuishi nae kama mume???? ushauri wa bure nifanyeje

Huyo ni kijana wa bongo fleva, atakutia tu hasara huko mbeleni, shauri yako.
 
Kama ni mara ya kwanza inawezekana akawa ana hofu ongea naye taratibuuuu atakuwa sawa ni kutojiamini tu
 
Kutidhika katika mapenzi ni suala la kihisia zaidi kuliko physically. Wengi tunakuwa na mahusiano na watu ambao hatuna mapenzi ya dhati kwao hususani wanawake ndio wana hii tabia. Sasa unapokuwa kwenye mahusiano na mtu ambaye hatupo 100% ndani ya moyo wako husitegemee kuna siku mtafanya mapenzi ukaridhika labda uwe umelewa.

So huu ujinga wa kulialia mpenzi wako hakuridhidhi, inabidi ujiulize ni kweli unampenda ?
ni kweli hisia zako zipo kwa huyo mtu au umefuata economic security ?
 
ngugu zangu mimi ninamchumba ambae ameshajitambulisha kwetu nami kanitambulisha kwao sasa wakati tunatoka kwao Tabora vijijini ilitubidi tulale mjini ili kesho yake tuje arusha sasa bwana katika hali ya kibinadam tu tukawa tumeshiriki kimapenzi ndugu zangu haniridhishi kabisa yaani tukishikana dudu yake ikichungulia tu kwangu kashashusha mzigo yaani namaanisha ( akiingiza chululu yake kwangu kabla hata haijaingia vizuri kwisha kazi )na kajalibu zaidi ya mala 3hali ni hiyo hiyo, jamani kweli nitaweza kuishi nae kama mume???? ushauri wa bure nifanyeje
mpigishe punyeto mara 3 kwa kutwa ndani ya mwez tu atakua fundi mzur....unaoneka una ya moto hatari
 
nilikua simbanii kwanza nimemuachia dudu yote nikategemea nimekutana na mtu mchapa kazi anaejua nini anafanya, bado nikafikiri ni mwanzo tu baadae atakaa sawa badae akaanza kunishika kwa mbwembwe ni kajua mwanajeshi kaingia vitani ikawa yale yale alafu ananiuliza umemaliza swty kidogo ni mtemee mate
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom