handsome boyz

kuna yule alijiita mhandsome toka chuo dodoma ukimuuliza utapata jibu
thanx god you gave me ugly face ever
 
basi mkishagombana akishakumwaga ndio unaanza sasa kuuuona ugay wake..??!!!
 
What about the ugly gay faces we meet around? I don't think so, though ukiona mwanaume anajiremba kuliko kawaida mara nyingi ni dalili zenye kutia shaka
Mwanaume lazima awe groomed, uchafu sio udume...... acheni mambo ya kiprimitive.
 
Mwanaume lazima awe groomed, uchafu sio udume...... acheni mambo ya kiprimitive.

Kwahiyo mwanaume kujipaka wanja ni suna. Kazi unayo. Usafi ni muhimu lakini kujiremba kama mtoto wa kike mhhh! Not me!
 
Umefanyia utafiti wapi mkuu?
Mimi handsome wa mama sina la kusema zaidi sana naondoka kama ifuatavyo.
 
Back
Top Bottom