Hana imani na mimi.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Heshima yenu wakuu!!nina galfrd wangu hana imani na mimi kabisa,sababu kuu ni tangu alipokutaga txt kwa 4n yangu nime2miwa na mmanzi mwingne...nifanyaje ili kurudsha imani kwake ukizingatia 2naishi mikoa tofauti?
 
dawa ya moto ni moto,...simple_usiwe na imani naye......ful stop
 
Heshima yenu wakuu!!nina galfrd wangu hana imani na mimi kabisa,sababu kuu ni tangu alipokutaga txt kwa 4n yangu nime2miwa na mmanzi mwingne...nifanyaje ili kurudsha imani kwake ukizingatia 2naishi mikoa tofauti?

Senetor pole kwa kugonganisha magari hawa viumbe imani ikiwatoka inawatoka kweli kweli... Unapaswa kutueleza pia una mpango gani na huyo manzi mwingine ili tusijepoteza mda wa kukushauri kumbe mwenzetu sikio la kudedi.
 
<span style="font-family: comic sans ms">Senetor pole kwa kugonganisha magari hawa viumbe imani ikiwatoka inawatoka kweli kweli... Unapaswa kutueleza pia una mpango gani na huyo manzi mwingine ili tusijepoteza mda wa kukushauri kumbe mwenzetu sikio la kudedi.</span>
<br />
<br />
2liishana achana na ndo mana najarbu kumweka huyu sawa bt ye bado haniamin.
 
Muite au nenda mkoani kwake..kalie shida zako zote..akiona chozi lako..umemrudisha!!
 
Mwanamke asipokuamini ni issue,na ww kama ndo umekufa kwake,anakuzika tu,"when the woman fed up"
 
Mkuu nenda kakutane nae huko aliko na uhakikishe unamgusa pale mahali! Usisahau kumalizia ujuzi wako wote kwenye mambo yetu yale. Atarudisha tu imani maana hawa viumbe waliumbwa kwaajili yetu! Mkuu aliona si vema mshua akakaa pekeyake ndio akamrekebisha maza! C unajua tena!?
 
Heshima yenu wakuu!!nina galfrd wangu hana imani na mimi kabisa,sababu kuu ni tangu alipokutaga txt kwa 4n yangu nime2miwa na mmanzi mwingne...nifanyaje ili kurudsha imani kwake ukizingatia 2naishi mikoa tofauti?

Unataka kuaminiwa wakati huaminiki?unafurahisha sana.
 
bonga nae na mueleze vizr atakuelewa.mapenz kwa wapendanao hayapotei.ila kama magumash bora uachane nae mapemaaa
 
Pole kaka, jitahidi kuwasiliana nae kila mara atasahau tu na imani itarudi..
 
Na wewe kama kweli unampenda huyo mwenzio kwa nini unatxt tena na mmanzi mwingine? Mambo mengine ni kujitakia ujue! Endelea kumbembeleza.
 
Heshima yenu wakuu!!nina galfrd wangu hana imani na mimi kabisa,sababu kuu ni tangu alipokutaga txt kwa 4n yangu nime2miwa na mmanzi mwingne...nifanyaje ili kurudsha imani kwake ukizingatia 2naishi mikoa tofauti?
Senetor,Mbona hujaamua yupi unamtaka kati ya hao? sababu hata akirudisha imani na wewe bado unapenda totoz haitokusaidia,na mie siamini kama wanaume wanalia kweli wakati wakubembeleza,manake hawa viumbe wana roho ngumu jamani mpaka nashanga, sie wanawake aaaaah,kulia na kukiri ndio majaaliwa yetu.
 
Nenda kwake mbembeleze sana then malizia ujuzi wote kwake na kama unajiamini fanya ka mchezn cha kubadilishana naye simu ,mpe yako chukua yake na awe na uhuru wa kupokea na kusoma sms yoyote itakayo ingia kwako,hapo utamrudisha.
 
masimu haya mobiles, sijui nani aliyaleta, yameharibu mahusiano mengi sana
nenda mkoani kamweleweshe na umwambie ukweli mtupu
 
Msimdanganye mwenzenu sijui kumgusa sehemu wala nini! Wewe si mwaninifu kwanini uaminiwe? Huyo dada si naive kama wadada wengi! Imani ikishatoweka imetoweka!

Msingi mkubwa wa relations zihusuzo mapenzi ni uaminifu! Anaweza kukubali kuwa na wewe lkn haimaanishi kuwa anakuamini! Mtaishi lkn atakuangalia kwa jicho la tatu na u don't want that in relation!

As a woman ngoja nikusaidie anachowaza!
-Kama ananipenda why awe na mtu mwingine?
-Kama ni X kwanini hakuniambia?
-ni huyu tu au kuna wengine?
- hivi ananionaje mimi?
-hivi hatujaona na sijachuja je akishaniweka ndani?
-hivi anajua kuna magonjwa kweli?

Hayo ni baadhi tu ya maswali! Ushauri wangu, so kila unachokitamani unakipata; muache umeshaharibu from the very begining! If hutaki kushindwa kama vidume vingi kwa ajili ya ego then, give her time, befriend her n slowly she will gain trust! Now the question is if she will need 6 month will u be able kuvumilia na kumake sure, hauharibu tena? Majibu unayo Goodluck!
 
Back
Top Bottom