Hamuwezi kuamini jamani...

Hamuwezi kuamini jamani...

We ni Joka la Maonesho/kibisa. Nishajiridhisha pasipo shaka yoyote.

Huyo dada anawe mikono tu.! Juhudi zote kukuvizia na kukuleta kwake msobe msobe, kukulaghai usiondoke, kukutega, Bado BILA BILA!!!!!!!!! Kiruuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!! Mburaaaaaaaaaaa!

Hahahaa haaaa
joka la kibisa
 
huyu jamaa ni noma sanaaaa
kuna mshikaji alilalamika kudhurumiwa na rafikiye
TYTA akapost picha
ikawa kama tukio halisi vile!!!

haa haaa haa team weka picha inabidi wajipange tu
 
si vibaya kulala nae bila kumgusa kwanza ni kuonyesha jins gan unashinda tamaa za mwili
ilaaaaaaaaaaaaa.......:
sidhan kama utakarbishwa tena kwake ukaangalie shideo mpka saa mbil usiku

ivi siunajua 1'inafuata'2 na tripu hii lazma anyonyolewe nyoya
 
Inawezekana mimi mwenyewe tarehe 2 mwezi huu nilikuwa kwenye situation kama yako.
 
man thats normal kwa mtu anaejiheshimu! binafsi nshafanya hivyo mara kadhaa.

Under what circumstances Swts? Mlikuwa msibani au? Ulilala na jeans? Mlikuwa mmelewa sana? au ulilala na watoto?
 
Last edited by a moderator:
we kweli KINYARU
Umeona eeee, Sihangaiki na vijana wasiojitambua na hajui wanataka nini. eti akaniwashia kideo tangu sasa 10adi02ucku, Mimi ningekutimua hata kama ni saa ngapi, uombe kunisindikiza nikubali iwe shida tena aaaa wapi, sikusindikizi na kwangu haulali,. nishakutana na vijana wengi sana type yako niliwashikisha adabu
 
cha ajabu kipi hapo?
cha ajabu hapo si hakuweweseka alilala kama amekufa, kwa sisi wenye ndoto zinazotokana na kile ulicho kiona mchana au kabla ya kulala, kwa kweli angenifukuza saa nane usiku , lazima kidali!!!! po, kidali!!!po, kingeanza
 
Umeona eeee, Sihangaiki na vijana wasiojitambua na hajui wanataka nini. eti akaniwashia kideo tangu sasa 10adi02ucku, Mimi ningekutimua hata kama ni saa ngapi, uombe kunisindikiza nikubali iwe shida tena aaaa wapi, sikusindikizi na kwangu haulali,. nishakutana na vijana wengi sana type yako niliwashikisha adabu

mbona umepaniki sana ombea ukutane nami ndo utajua....
 
Pongezi kwa kuyashinda majaribu. msirudie tena kumpa shetani nafasi. Msimamo wa huyo dada ni mzuri coz siku zote a man is a man! Big up brother u tried to be gentleman, by respecting that girl!
 
man thats normal kwa mtu anaejiheshimu! binafsi nshafanya hivyo mara kadhaa.

No its Not Normal!

Kidume huwezi lala na demu ndani usiku kucha bila chochote kutokea unlesss.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom