haaaaa! kama palikucha NIL NIL, yeleewiiii wahi kwa babu kutoka sumbawanga. chaji itakuwa imeishaa( joking)
Ahahahaha!!
Af eti unasimulia!
Ulitaka akuwekee kwenye glass kama juice au?
ila kweli we usiku kucha kashindwa kuvibrate
kwani nilazima mfanye istoshe amna alie na hisia na mwenzie
Aliyekudanganya umekamilika nani?
We naeee
ulitaka mwenzio atoe tangazo kwa msajili wa mahakama kwanza?
We ni Joka la Maonesho/kibisa. Nishajiridhisha pasipo shaka yoyote.
Huyo dada anawe mikono tu.! Juhudi zote kukuvizia na kukuleta kwake msobe msobe, kukulaghai usiondoke, kukutega, Bado BILA BILA!!!!!!!!! Kiruuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!! Mburaaaaaaaaaaa!
Nyuki wa mashineni kabisa ww.
kwanza bint ana swaga za kilokole alifungulia kipndi cha mchungaji gani uko mimi kila saa na sikia bwana yesu ikabidi niwe mpole
sasa sawa ka vibrate we ungeanza na style gani kumshawishi?
man thats normal kwa mtu anaejiheshimu! binafsi nshafanya hivyo mara kadhaa.