Hamuwezi kuamini jamani...

Hamuwezi kuamini jamani...

Unavyomnanga khaaa....utadhani nawe umesahau kile kisa chako!!!

Hili kwa uhakika si suala la uaminifu kabisa kwa sababu kama mngekuwa wema sana ungeenda kwenu!! Eti tabia nzuri, tabia ya kulala kwa mwanamke asiye mkeo tena one bed? Yani hapo dhambi ya uasherati ulishaipata muda ule mlipokubaliana kulala pamoja bila aibu.

Kuhusu suala la kutomgusa hayo ni matatizo ya kukamata channel na sio abstinence
 
Wera wera Tyta mzee wa picha unanipaje rahaa!!!
 
Last edited by a moderator:
kwako huna kideo? eti akaniwashia kideo kuanzia saa 10 mpaka saa 2 usiku! ulivyoona kideo kimewashwa ukajua umewashiwa wewe, na kwa vile kwako hakipo ukakitumbulia macho hata kurudi kwako hukumbuki, ulitaka akufukuze, kwanza shukru huyo dada ni msitaraabu ningekuwa mimi nakuambia toka nikusindikize unatoka tu nafunga malango nalala utajua mwenyewe uende au unilinde hapo nje mpaka asubuhi. Vijana wengine ziro brain kabisa unaenda kwa mtu unakaa mpaka ufukuzwe, eti vijana hawa ndo taifa la kesho, sipati picha hivi kesho taifa litakuwaje! natamani ungenisindikiza mimi ungelijua jiji
 
Wera wera Tyta mzee wa picha unanipaje rahaa!!!

huyu jamaa ni noma sanaaaa
kuna mshikaji alilalamika kudhurumiwa na rafikiye
TYTA akapost picha
ikawa kama tukio halisi vile!!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi kumbe wewe ndio ulimwomba umsindize eeh! Halafu masaa yote hayo ni kideo tu ulikua unaangalia! Kazi kwelikweli
 
Unavyomnanga khaaa....utadhani nawe umesahau kile kisa chako!!!
Kwani mi nlikataa kwamba ni dhambi?
Kisha mi nilishindwa kuvumilia ndo namshangaa kavumilia effectively. Anyway labda naweza kuiga mbinu mbili tatu za uvumilivu
 
hii hadithi inatufundisha nini wajameni?
 
subiri atakuletea papuch kwenye kikapu kama vitumbua vile
 
Sina mazoea nae lakini kilicho tokea mpaka leo siamini,ni mdada mtu mzima tukiwa na mazoea ya stori za apa na pale siku moja ilitokea akiwa anarudi kazini nikamwomba nimsindikize hadi kwake bila hiyana tukafika ndani mtoto akaniwashia kideo tangu sasa 10adi02ucku nikiangalia mda umesha tembea kwangu ni mbali kidogo nakwake unajua nini kilitokea

nikamwomba anisindikize ikuwezekana basi tukakubalia kulala pamoja kitandani lakini kwa sharti pasiwe na usumbufu nikakubali mtu mzima da amuwezi amini wa dau mpaka kulikucha.

Je ninani anaweza ivyo jamani?
angalizo mm ni mwanaume nilie kamilika kila idara binafsi nimeshindwa kuamini kilicho tokea

kawaida mkuu nshanitokea mara moja, ila ikaja tokea kwa huyo mara nyingine nikamdinya!
 
I hope that was unplanned, hata condom hukuwa nazo, ungeishia kuuza mechi na saivi ungekuwa kwenye presha kali na stress zakujutia uamuzi wako wa kudo bila kujua hatma ya afya yako! km mmependana bado mnanafasi nyingine. huna haja ya kujilaumu saivi, jipongeze Mkuu kwa kuepuka majanga!!
 
umesahau kutuambia hata usingizi hukupata maana ulikesha macho
 
Kwa dada mtu mzima mbona ni kawaida ulimchukulia kama dada yako. Kumbuka bila hisia mashine haisimami.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom