- Thread starter
- #141
Inawezekana mimi mwenyewe tarehe 2 mwezi huu nilikuwa kwenye situation kama yako.
funguka basi ilikuwa je?
Inawezekana mimi mwenyewe tarehe 2 mwezi huu nilikuwa kwenye situation kama yako.
Kama ujala bro ukonjiani kuliwa kuwa makini.
aisee trust me inawezakana..mkiwa wote mnamalengo. and no mitego unalala mpaka kunakuchaNo its Not Normal!
Kidume huwezi lala na demu ndani usiku kucha bila chochote kutokea unlesss.......
hehehe mentor bana mgumu kuamini..Under what circumstances Swts? Mlikuwa msibani au? Ulilala na jeans? Mlikuwa mmelewa sana? au ulilala na watoto?
Je wewe ni mwanaume wa kweliii??JE WEWE NI MWANAUME WA KWELII??....(Singing th dume condom advert)
watsupWewe!!!!!!!!
Sio ujasiri coz unaonyesha dat ulitaka bt ukakosa njia ya kumshawishi..tena na wasi wasi na ulivyoenda kuoga.,ulinyetoka
aisee trust me inawezakana..mkiwa wote mnamalengo. and no mitego unalala mpaka kunakucha
hehehe mentor bana mgumu kuamini..
me ya kwanza nilitoka mahali usiku (nilipata matatizo yagari )naishi karibu na mitaa nilipoenda so i called him(a good friend of mine),nikaenda kulala kwake. sikuwa nimelewa wala hakuwa amelewa and believe me nothing happen.
ya pili my roomate siku tukibambana wote off tunashinda pamoja..movies, na tunaweza lala sebuleni hadi asubuhi. and each of us have our sigothers! amd nothing happen.
No its Not Normal!
Kidume huwezi lala na demu ndani usiku kucha bila chochote kutokea unlesss.......
aisee trust me inawezakana..mkiwa wote mnamalengo. and no mitego unalala mpaka kunakucha
mkavu pe yani mpaka sasa ukiniambia ilikua je mi sina jibu
Sina mazoea nae lakini kilicho tokea mpaka leo siamini,ni mdada mtu mzima tukiwa na mazoea ya stori za apa na pale siku moja ilitokea akiwa anarudi kazini nikamwomba nimsindikize hadi kwake bila hiyana tukafika ndani mtoto akaniwashia kideo tangu sasa 10adi02ucku nikiangalia mda umesha tembea kwangu ni mbali kidogo nakwake unajua nini kilitokea
nikamwomba anisindikize ikuwezekana basi tukakubalia kulala pamoja kitandani lakini kwa sharti pasiwe na usumbufu nikakubali mtu mzima da amuwezi amini wa dau mpaka kulikucha.
Je ninani anaweza ivyo jamani?
angalizo mm ni mwanaume nilie kamilika kila idara binafsi nimeshindwa kuamini kilicho tokea
uku hamna njia ngoja nipite ivi....
Sasa kama wewe mwenyewe huamini ...
Unataka nani aamini:what:🙄😛🙄