Hamuwezi kuamini jamani...

Hamuwezi kuamini jamani...

We ni Joka la Maonesho/kibisa. Nishajiridhisha pasipo shaka yoyote.

Huyo dada anawe mikono tu.! Juhudi zote kukuvizia na kukuleta kwake msobe msobe, kukulaghai usiondoke, kukutega, Bado BILA BILA!!!!!!!!! Kiruuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!! Mburaaaaaaaaaaa!
niite basi na mimi Lara 1. hata mimi ni wa maonyesho ila tofauti yangu ni kuwa nikiamka naosha vyombo,kudeki na kufua halafu naacha hela kuanzia kitafunwa mpaka hela ya Bibi yako Marangu!
 
Halafu wazazi wako wanashangilia kabisa ''tumezaa kidume" Njoo garage kwetu tukague hizo piston yumkini hazitoi spark!
 
na kwakujiamin unaandka hapa? Au unataka kina Karucee DEMBA na wengineo wakuone mstaarabu, au unawatega???
 
Last edited by a moderator:
afu ukirudi kwako unaendeleza SABUNI..!!!
 
marriage-relationships-barbed_wire-husband-wife-married_life-marital_problems-tnen770l.jpg
social-issues-bed-sleep-sleeping-sleeper-divide-jfa3196l.jpg

9054_our_bed_boundary.jpg
 
we ni NYOKA WA USANGU huna madhara kabisa,tena nyoka wa kijani. Kaoge maji ya kisima kisichokauka bagamoyo utoe nuksi
 
Hilo linawezekana lakini co kila m2 anaeweza. Inaonyesha kujiheshim kwako.
 
Pamba maneno kadiri uwezavyo ila lililo sahihi wewe hujakamilika
 
Damn ........!!!!! Karucee hebu leo naja kuangalia mechi ya Man City v/s West Ham halafu si unajua kwangu ni Mail moja tutalala lakini hakuna kugusana....
Sawa??
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini isiwezekane? Inategemea mawazo yako umeyaweka wapi.
 
Damn ........!!!!! Karucee hebu leo naja kuangalia mechi ya Man City v/s West Ham halafu si unajua kwangu ni Mail moja tutalala lakini hakuna kugusana....
Sawa??

Wewe mwanamme???
 
Last edited by a moderator:
Ahahahaha!!
Af eti unasimulia!
Ulitaka akuwekee kwenye glass kama juice au?

Mimi nilidhani shule zimeshafunguliwa kumbe kuna left-overs! Mzima wewe na Mangi wako? Nangoja episode 2 ujue.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom