Dudu yako imekolifai kuwa moja kati ya dudu pole duniani...
Hongera sana!!!
Mimi sioni ajabu mapenzi ni hisia kama hauna hisia na mtu hata ungemkuta mtupu hata hamu haiji! Isitoshe kama una hofu au mashaka na dem pengine hajatulia inawezekana kabisa dudu lisisimame hata kidogo
sasa sawa ka vibrate we ungeanza na style gani kumshawishi?
uwiiii navunjika mbavu mie
hata mi nilitaka kushangaa,kaka awe swrt?impossible.pongezi nachukua ila me sio kaka. ila ukiwa na watu wanaojiheshim inawezekana!
We ni Joka la Maonesho/kibisa. Nishajiridhisha pasipo shaka yoyote.
Huyo dada anawe mikono tu.! Juhudi zote kukuvizia na kukuleta kwake msobe msobe, kukulaghai usiondoke, kukutega, Bado BILA BILA!!!!!!!!! Kiruuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!! Mburaaaaaaaaaaa!
kumbeeh..shida hapa nikufundishwa jinsi ya kushawishi..teh teh teh alaf inavooneka ulikua unataka lakini ukashndwa pakuanzia...lol
Huyu ni nyuki wa mashineni na tena ni kuku wa kuchora na mbaya zaidi amekuwa joka la kibisa
Hili kwa uhakika si suala la uaminifu kabisa kwa sababu kama mngekuwa wema sana ungeenda kwenu!! Eti tabia nzuri, tabia ya kulala kwa mwanamke asiye mkeo tena one bed? Yani hapo dhambi ya uasherati ulishaipata muda ule mlipokubaliana kulala pamoja bila aibu.
Kuhusu suala la kutomgusa hayo ni matatizo ya kukamata channel na sio abstinence
Hilo jokaa..