johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,965
- 141,968
Dar es salaam ndio jiji lililobeba uchumi wa nchi likiwa limesheheni wawekezaji wa kila sekta.
Dodoma ni jiji lililo katikati ya nchi hivyo linaweza kutumika kuratibu vita dhidi ya umaskini nchini.
Inapendeza kuona Rais Samia akibaki Dar es salaam akiimarisha mahusiano ya ndani na nje ya nchi huku akisimamia kwa karibu ukuaji wa uchumi uliotetereka hadi 4.7%
Naye Dr Mpango akibaki Dodoma kusimamia angamizo la umaskini na utunzaji wa mazingira ya nchi yetu.
Mungu ibariki Tanzania.
Kazi Iendelee!