Hamna tatizo la nguvu za kiume, epuka kutapeliwa

Hamna tatizo la nguvu za kiume, epuka kutapeliwa

wanasetiwa watu ili wapigwe kupitia shuhuda za mchongo, watakwenda kusaga meno na hawatasema maana wataogopa kuonekana hawana nguvu za kiume.
 
Yani katika matatizo yote yanayomsibu binadamu wewe unajuwa kutibu nguvu za kiume tu?

Tatizo kubwa la binadamu ni mishipa ya damu, fanyeni tatizi ya dawa kwenye eneo hilo, dawa za kusafisha mishipa ya damu siyo nguvu za kiume, nguvu za kiume ni pesa tu.
Hata hilo tatizo la nguvu za kiume halianzi tu eneo la tezi za uzazi Moja kwa Moja huanzia TUMBONI kwakua mwili ni system.
Hivyo kutibu hili jambo huitajika kugusa maeneo mbalimbali.
Sijui intention Yako.
Basi washauri wanywe Azuma au antibiotics kwakua husafisha damu.
 
Nashukuru kwa wanao respond vizuri hasa PM, Nilichogundua wengi hawapendi kuwa publicized na hili nilitegemea maana wengi nimewapa dawa na ikawa sababu ya kupona na ukiwaomba watoe ushuhuda wanakuwa wazito kuweka wazi kwakua afya ni Jambo la faragha unless imelazimika iwe kwa maslahi ya mgonjwa au umma.
 
Mimi nilikuwa na Hiyo shida.
Niliugua sana Tumbo na kitovu nikiwa mdogo, Nadhani nilipata shida ya Hernia na kongosho Urcers nikiwa mtu mzimaa.
Haya magonjwa yalinikata sana uanaume

Baada ya kukua sikuwa na Uwezo kabisa wa kumkojolesha na kumliza mwanamke yani nilikuwa Dakika moja na Goli langu moja tu.
Nilipogundua ni tatizo nikaanza kutafuta dawa.

Baada ya Kupata Dawa ya Maana sana nakunywa kwenye Supu na Damu.
Mashine Ilikuwa inasimama Kama Mche
Ikawa Kubwa sana
Nikaanza kuwa na Hamu sana ya kukutana na Opposite sex.

Nilipokutana na manzi yangu Baada ya Mwezi alilia sana.
Akaanza Kukimbia Show.
Hakuna mwanamke anayeweza Kivumilia goli Zangu mbili.

Asante Mungu kwa kuumba miti.
Hakika miti ni Dawa.
Tusidharau miti shamba.
Hili tangazo limekaa kimkakati sana
 
Back
Top Bottom