Hamna tatizo la nguvu za kiume, epuka kutapeliwa

Hamna tatizo la nguvu za kiume, epuka kutapeliwa

Wadau naandika uzi huu kutokana na uzoefu wangu binafsi wa muda mrefu.

Suala la nguvu za kiume linategemea sana na aina ya mwanamke unaelala nae kama anakupa mizuka au lah,
Point zangu ziko hivi.
Kwa muda mrefu nina mpenzi ambae nakuwa nae muda mwingi. Huyu mpenzi ana mazoea kwa hiyo hatunaga romance sana labda nianze mimi na mda wote ni kama gogo.

1 : kuna muda nachepuka na vimichepuko vyangu. Nikitoka kwa mchepuko huwa sina hamu kabisa na huyu main chick hata anitomase namuona katuni tu

2: Nina huyo mchepuko mwingine hata kama nimetoka kupiga bao 3 kwa main chick au mchepuko 1, aisee akivua tu mimi mnara na ntapiga hata bao za kuunganisha. Yaani wazungu wakitoka dakika moja haipiti mnara uko hewani.

3. Kuna baadhi ya wanawake nilikutana nao nikaishia bao moja tu yaani alivyo alivyo haupati kabisa mzuka wa kumla, hilo bao moja lenyewe unajilazimisha kwa vile ushaweka mashine.

MY TAKE: NGUVU ZA KIUME NI PROPAGANDA ZA KUIBIA WATU HELA, TAFUTA ANAEKUAMSHA MASHETANI.
Siyo tatizo ni matatizo maana ni mengi yapo kwa asilimia 100
 
Kwahiyo mizuka mnaipata kwenye sura za baba zao??

Wewe unawakana wanaume wenzio wanaoangalia nyash?!! 😹😹
Siwakani, kuangalia nyash ni burudani nyingine hiyo, nichukulie kama kuangalia nguo dukani, unaipenda ukishaivaa inakuboa unaigawa.

Ndiyo mfano wake huo.

Hata mimi huwa nachuruzikwa sana na udenda nikiona zegembe linazagaa, lakini kwenye kuzamisha upendo ni issue nyingine kabisa maana unaamgukia popote bila kujali mtu amekaakaaje.
 
Mimi nilikuwa na Hiyo shida.
Niliugua sana Tumbo na kitovu nikiwa mdogo, Nadhani nilipata shida ya Hernia na kongosho Urcers nikiwa mtu mzimaa.
Haya magonjwa yalinikata sana uanaume

Baada ya kukua sikuwa na Uwezo kabisa wa kumkojolesha na kumliza mwanamke yani nilikuwa Dakika moja na Goli langu moja tu.
Nilipogundua ni tatizo nikaanza kutafuta dawa.

Baada ya Kupata Dawa ya Maana sana nakunywa kwenye Supu na Damu.
Mashine Ilikuwa inasimama Kama Mche
Ikawa Kubwa sana
Nikaanza kuwa na Hamu sana ya kukutana na Opposite sex.

Nilipokutana na manzi yangu Baada ya Mwezi alilia sana.
Akaanza Kukimbia Show.
Hakuna mwanamke anayeweza Kivumilia goli Zangu mbili.

Asante Mungu kwa kuumba miti.
Hakika miti ni Dawa.
Tusidharau miti shamba.
Weka miti hapa usaidie watu mkuu, au we ndio mganga unataka wakutafute?
 
Habari,
Mimi ni tabibu wa tiba asili nimefanya hii kazi kwa miaka 7 bàada yakufundishwa na baba Toka nikiwa ndogo nikaamua kujiendeleza kielimu ili nifanye hii kazi kwa weledi zaidi. Sasa nimekua nikitoa huuduma hii kwa weledi wa Hali ya juu sana nimewatibu watu wengi wakiwemo wanajamvi wenzangu humu.
Leo nimeamua kutoa dawa kwa mtu mmoja MWENYE shida ya nguvu za kiume bila malipo ila kwa shart lakuja kutoa testimony/mrejesho juu ya dawa na jinsi ilivyomsaidia. Pia kama awe tayari kulipia usafiri kama atatoka NJE ya mkoa wa Kilimanjaro.
Kama utahitaji dawa utacoment nahitaji then Mimi nitaongea na baadhi ya watu na nitachagua mmoja na atakua announced then tutahitaji mrejesho after medication.
Nawasilisha
 
Yani katika matatizo yote yanayomsibu binadamu wewe unajuwa kutibu nguvu za kiume tu?

Tatizo kubwa la binadamu ni mishipa ya damu, fanyeni tatizi ya dawa kwenye eneo hilo, dawa za kusafisha mishipa ya damu siyo nguvu za kiume, nguvu za kiume ni pesa tu.
 
Back
Top Bottom