Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,891
- 155,907
Nipo hapa idara ya uhamiaji Nyerere Road, kijana mmoja mwenye mlegezo na sauti ya kisharabaro analiona jina lake kwenye ubao wa matangazo, lakini anaambiwa passport yake bado haijatoka.
Anaporomosha matusi ya aibu na makubwa sana, ananimaliza kwa kusema eti ye mzuri kuliko wanaume wote, hivyo kina dada wa uhamiaji wamefanya hila ili wabaki na passport yake kwqa kuwa yeye ni mzuri kuliko wanaume wote, hii imekaaje wadau?
nipo hapa idara ya uhamiaji nyerere road, kijana mmoja mwenye mlegezo na sauti ya kisharabaro analiona jina lake kwenye ubao wa matangazo, lakini anaambiwa passport yake bado haijatoka.
Anaporomosha matusi ya aibu na makubwa sana, ananimaliza kwa kusema eti ye mzuri kuliko wanaume wote, hivyo kina dada wa uhamiaji wamefanya hila ili wabaki na passport yake kwqa kuwa yeye ni mzuri kuliko wanaume wote, hii imekaaje wadau?
<br />Anataka Rijali wakisawasawa yeye mwanamme suruali huyo,ivi inakuwaje mwanamme akajita yeye mzuri na wanawake wasemeje.
duh! na we ulimuonaje lakini? hukumpiga ka picha hata kwa mobile phone? vigezo anavyo linganisha ni vipi? ao hajui akili ni part of uzuri wa mwanaume?
<br />duh! na we ulimuonaje lakini? hukumpiga ka picha hata kwa mobile phone? vigezo anavyo linganisha ni vipi? ao hajui akili ni part of uzuri wa mwanaume?
<br />Duh hivi kuna mwanaume mzuri ndugu zangu au ni vigezo gani anatumia kujiita mzuri