Hamna mwanaume mzuri kama mimi!

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,427
154,274
Nipo hapa idara ya uhamiaji Nyerere Road, kijana mmoja mwenye mlegezo na sauti ya kisharabaro analiona jina lake kwenye ubao wa matangazo, lakini anaambiwa passport yake bado haijatoka.
Anaporomosha matusi ya aibu na makubwa sana, ananimaliza kwa kusema eti ye mzuri kuliko wanaume wote, hivyo kina dada wa uhamiaji wamefanya hila ili wabaki na passport yake kwqa kuwa yeye ni mzuri kuliko wanaume wote, hii imekaaje wadau?
 
Anatumia OS ya mchina huyo.
 
Anataka Rijali wakisawasawa yeye mwanamme suruali huyo,ivi inakuwaje mwanamme akajita yeye mzuri na wanawake wasemeje.
 
nipo hapa idara ya uhamiaji nyerere road, kijana mmoja mwenye mlegezo na sauti ya kisharabaro analiona jina lake kwenye ubao wa matangazo, lakini anaambiwa passport yake bado haijatoka.
Anaporomosha matusi ya aibu na makubwa sana, ananimaliza kwa kusema eti ye mzuri kuliko wanaume wote, hivyo kina dada wa uhamiaji wamefanya hila ili wabaki na passport yake kwqa kuwa yeye ni mzuri kuliko wanaume wote, hii imekaaje wadau?

mkuu bujibuji
yaani roho imetulia nilipoanza kusoma nilipocheki kichwa cha habari nkasemaaaaa yalaaaaaaaaaaa kakangu
nao wale wale halooooooooo haloooooooooooooo vidole juu mashallah umenitua ugonjwa moyo nkasema
sikuzote alikuwa wapi jamani asiwape mipasshooo wana jf leo neema imemtembelea la hasha kumbe wakina mashairoooooooo hao tushawazoea ila wengi wanaosema hiv wanabandaliwaga mkuu kuwa nao makini ningesikia hivyo ningeamia uhamiaji ya temeke kabisa
 
Anataka Rijali wakisawasawa yeye mwanamme suruali huyo,ivi inakuwaje mwanamme akajita yeye mzuri na wanawake wasemeje.
<br />
<br />
ungeona sasa jinsi alivyo ndo ungekoma. Ana blackberry 4, ana video camera, ana cheni nzito sana ya bati, ana laptop 2, usoni mweupe sana, lakini sijui hajaoga muda gani, kwani miguu yake ni myeusi kuliko mkaa, na bado anajiita na kujiona mzuri
 
duh! na we ulimuonaje lakini? hukumpiga ka picha hata kwa mobile phone? vigezo anavyo linganisha ni vipi? ao hajui akili ni part of uzuri wa mwanaume?
 
Duh hivi kuna mwanaume mzuri ndugu zangu au ni vigezo gani anatumia kujiita mzuri
 
duh! na we ulimuonaje lakini? hukumpiga ka picha hata kwa mobile phone? vigezo anavyo linganisha ni vipi? ao hajui akili ni part of uzuri wa mwanaume?
<br />
<br />
Nina picha yake nimempiga, lakini JF Mobile hamna uwezekano wa ku attach picha, kweli tembea uone.
 
Dah ndo maana tunadharaulika wanaume jina tuu
Maana mwanaume kujitangaza ni mzuri wa sura haileti maana yoyote.
Wacha mwanamke wako akusifie na wewe jione mwanaume kwa mambo mengine bana
 
Igwe mbona umeshangaa. Hao ndio wanaume wanajiita wazuri sasa sijui na wanawake watasemaje
 
Mwanamume mzuriiiiiiiiiiii.Sawaaaaaaaa labda kunawaomwambi wewe mzuri ndo maana anapatakiburi hiyo.Wewe mzuri bwanaaaa.Labda kwa babu Chuchu ....
 
Hahahahahha hata ukiambiwa unachanganya na za kwako
Sio vyema kurukia kila unaloambiwa bana kabla ya kupima athari zake
 
Uzuri wa mwanaume ni nini? Iweje huyu ajisifie? Eti madada wa uhamiaji wameiba pasi yake ili wawe wanaangalia picha yake. Jamani huyu kiumbe nahisi ni shosti anatafuta mabwana kwa udi na uvumba
 
Nipo hapa idara ya uhamiaji Nyerere Road, kijana mmoja mwenye mlegezo na sauti ya kisharabaro analiona jina lake kwenye ubao wa matangazo, lakini anaambiwa passport yake bado haijatoka.
Anaporomosha matusi ya aibu na makubwa sana, ananimaliza kwa kusema eti ye mzuri kuliko wanaume wote, hivyo kina dada wa uhamiaji wamefanya hila ili wabaki na passport yake kwqa kuwa yeye ni mzuri kuliko wanaume wote, hii imekaaje wadau?

Anamaanisha kuwa yeye anatoa exhaust aka kitolea hewa au kipumulio
 
Nipo hapa idara ya uhamiaji Nyerere Road, kijana mmoja mwenye mlegezo na sauti ya kisharabaro analiona jina lake kwenye ubao wa matangazo, lakini anaambiwa passport yake bado haijatoka.
Anaporomosha matusi ya aibu na makubwa sana, ananimaliza kwa kusema eti ye mzuri kuliko wanaume wote, hivyo kina dada wa uhamiaji wamefanya hila ili wabaki na passport yake kwqa kuwa yeye ni mzuri kuliko wanaume wote, hii imekaaje wadau?

Unatuuliza sisi na wewe ndio uliokuwepo hapo? si utuambie wewe kuna ka ukweli katika aliyoyasema au ni porojo, kama kawa.
 
Huyo kijana si riziki, seems anamegwa na hata hyo passport anaitaka kibiashara zaidi. Hovyo sana!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom