Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,457
- 154,322
Nipo hapa idara ya uhamiaji Nyerere Road, kijana mmoja mwenye mlegezo na sauti ya kisharabaro analiona jina lake kwenye ubao wa matangazo, lakini anaambiwa passport yake bado haijatoka.
Anaporomosha matusi ya aibu na makubwa sana, ananimaliza kwa kusema eti ye mzuri kuliko wanaume wote, hivyo kina dada wa uhamiaji wamefanya hila ili wabaki na passport yake kwqa kuwa yeye ni mzuri kuliko wanaume wote, hii imekaaje wadau?