Kawatisheni wapuuzi kama hawa wa hapa jf.hivi mnafikiri kila mtu anategemea pesa ya Lowasa kuishi? Hamisi ni Dr.by professional hajasoma fine and perfoming art kama lowasa hizi ni level mbili tofauti ndio maana Dr.kaamua kumchana Live..
mkuu naona umepata hasira za ghafla
Hapa dawa ni mtu wetu amwage vyote,ugali,mboga na maji ya kunawa! Hili fukuto lisipokuwa handled vema,basi Ukawa ni mwaka wa mavuno,mapeeemaaa!
Kuna wakubwa fulani wamejiandaa kumchinjia bahari EL,Including JK. Komesha yao ni EL kutema cheche...Watanywea,,otherwise...
ataisoma LOWASSA akiwa rais.......yaan ccm tunachukiana kuliko sjui kwanini?
adui ya ccm ni wana ccm wenyewe na sio UKAWA
I like your guts, hopes na wishfulthinking, hope to see you there baada ya October 25!, ila hala hala, nimeisha anjifu ya kuwafutia watu machozi na kuwabembeleza kwa vilio, kwa sababu 2015 ni Lowassa na ni CCM Tena!, huu ndio ukweli mchungu kumeza!.Pasco
Kubalini tu...game aliyoibua leo mzee wenu itam hunt big times kaka.
Eddo hana mwamvuli wala kivuli cha kumpunguzia makali ya joto la aina yoyote ya ufisadi uliofanywa na Serikali ya CCM au chama hicho. Hakuna.
Tunasubiri kuona kesho maswali gani hasa aliulizwa na amejibu nini!
Lowassa hawezi kujinasua katika mess up yoyote ya Serikali ya Kikwete au chama chake. He is just at loss...like any other CCM galas.
ataisoma LOWASSA akiwa rais.......yaan ccm tunachukiana kuliko sjui kwanini?
adui ya ccm ni wana ccm wenyewe na sio UKAWA
Na hapa ndipo ilipo tofauti kati ya Lowassa na kundi la wapuuzi wanaofikiri kuwa nao wanaweza kuwa marais wa nchi hii...wakati Lowassa ana agenda zake anazozingumzia,wapuuzi hao wao hukaa yakisikiliza atasema nini ili yapate cha kusema kesho yake,kwa hiyo hapa Kigwangala hakuwa na la kusema hadi aliposikia Lowassa amesema,January Makamba hana la kusema lakini kesho atapanua kinywa chake kusema baada ya kusikia Lowassa amesema,Membe hivo hivo,Sitta hivohivo,Mwandosya hivohivo,Sumaye hivohivo...yaani utafikiri matoto madogo,hawana la kusema hadi wasikie Lowassa kasema khaaaa,ASBSOLUTE STUPID!
That is academic arrogance najua CCM mwaka huu mmeamua kupitisha Majina ya Kingwangala, Wasira, Makongoro, Magufuli na Shein.
Watu wanajinadi chuki za nini wakati wao ndiyo waasisi wa chuki zenyewe. Sasa CCM imebaki kuwa mali ya familia za watu na siyo za wanachama tena.
Tusubiri hii sinema na hakika sikio la kufanya halisikii dawa!
Hamis ana laana ya kumtelekeza baba yake mpaka umauti! Tumsamehe bure!