Hamis Kingwangala amjibu Lowassa


Arusha Lowassa atamwaga mboga,ugali na maji ya kunawa....mwisho kabisa atatafuna na vibakuli....
 
Hii muvi imekua tamu sana aseeee I'll miss it so much after October
 
Mwaka huu tutaona na kusikia mengi ninachoamini EL ameshika remote ya kulipua bomu la ccm hakuna msafi chama kizima kuanzia mwenyekiti mpaka balozi wa nyumba 10. Sisi UKAWA tunasubir tu kuingia magogoni baada ya oct.
 
Arusha Lowassa atamwaga mboga,ugali na maji ya kunawa....mwisho kabisa atatafuna na vibakuli....

Hahahaaa naisubiri kwa hamu hiyo tar.maana ndiyo itakuwa ICU ya ccm na kifo rasmi ni oct.
 
wera weraaaaaa!!! picha limeanza, mtatafutana! ni kama mnara wa babeli vile, mshaanza!
Mkuu hii ndio demokrasia,

Kila mtu anakuwa na haki ya kusema afikiricho, na sio lazima wote tuwaze kwa kufanana kama ninyi!
 
Mkuu movie ndo imeanza kunoga.... Where is my popcorn bag...

C:C BAK

hahaha!! zipo kwenye microwave, ndiyo zinapasuka-pasuka! pop-pop-pop!!!! subiri kidooooogo!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hii ndio demokrasia,

Kila mtu anakuwa na haki ya kusema afikiricho, na sio lazima wote tuwaze kwa kufanana kama ninyi!

kwa akili zako zilivyo ndogo hata hujui nimesema nini! jadilini suala lenu na Lizaboni kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Masikini HK!, kumbe hajui hata "what is the name of the game?!.

P.

what is the name of the game Pasco? "Hatutamuogopa mtu wala wapambe wake "President Jakaya Kikwete to NEC members at Dodoma on 23th of May 2015
 
Ndo maama Hamisi Kigwangala kaomba mdahalo na Lowasa. Ana maswali mengi ya kumuuliza. Mie nina maswali mengi pia. Kwa kuanzia naweka haya maswali ambayo wadau wengi wameyauliza humu jf

SWALI NA HOJA NAMBA MBILI unapotoshaa umma
1.mkapa alimteuwa lowassa waziri kabla ya kifo cha nyerere....hapa unasemaje????
2.Nyerere hakusema JK NA LOWASSA HAWAFAI...bali alihoji umiliki wa mali za LOWASSA na udogo (40+ YEARS WA JK)
LOWASSA alijiueleza ndani ya vikao vya chama kuhusu nyumba ya MASAKI na NYERERE HAKUMTUHUMU UFISADI bali hakupendezwa na mtu TAJIRI kuwa RAIS.
 
wera weraaaaaa!!! picha limeanza, mtatafutana! ni kama mnara wa babeli vile, mshaanza!

Kweli mamvi kiboko sasa kama hahusiki nini kilimfanya ajiudhulu ndio cinema imeanza mpka ifikapo mwez wa 7 wa2 watakua I.C.U
 
kwa akili zako zilivyo ndogo hata hujui nimesema nini! jadilini suala lenu na Lizaboni kwanza.
Mkuu nadhani wewe ndio hujanielewa!

Demokrasia ndani ya CCM ni pana mno, ndio maana sio ajabu kuona mimi na mwenzangu Lizaboni hatuko pamoja, kwenye masuala fulani fulani, dhana ya kukubaliana kutokukubalina inafanya kazi vyema ndani ya CCM.
I mean, nyie huko CHAGADEMA mtabishania nini wakati mgombea ni mmoja tu, BABU?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…