Hamas walimkuta Joshua amevaa bulletproof

Write your reply...ukilala, ukiamka unawaza gaza tu na kuwasafisha hamas waonekane malaika ndo mana asbh tu unatupia habar za gaza.hivi nyie mmejitoa kujenga hii nchi mnaijenga gaza et
 
Inawezekana Alikuwa spy huyo. Hamas Hawaui mtu asienahatia. Inaonekana Isreal inachukua vijana ktk nchi maskini kuwatumika kijeshi
 
Joshua alikuwa kwenye kikosi cha jeshi la Israel,kuna picha alionekana akiwa kitandani akiwa na wanajeshi wa Israel siku waliyotembelewa na Netanyahu.
 
Wee ng'ombe kipumbu kwani bullet proof zinavaliwa na askari peke yao? Acha kutoa tafsiri potofu!
 
Kichwa Kisoda.

Kwani kuvaa bullet proof ndio kuwa alari!

GOD BLESS ISRAEL
 
Kama usingetoa mrengo wa kidini hoja yako ingeeleweka. Uwe mzalendo wa nchi achana na mambo ya kiislam ni abrakadabra tu za mataifa ya kiarabu na utamaduni wao. Usilete itikadi za kidini ndani ya nchi isiyo ya kidini
 
Fikra zako za kipuuzi sana. Wewe kwa akili yako ndogo unaona bullet proof ni kitu cha ajabu?

Kuna wakati tulikuwa kwenye ziara ya kikazi kwenda Kabanga, Ngara. Kwa sababu matukio ya watu kutekwa wakiwa kwenye magari binafsi au mabasi yalikuwa mengi wakati huo, sisi sote, kila mmoja alipewa bullet proof na kampuni. Na huo ulikuwa ni utaratibu wa kawaida kwa kila aliyekuwa akisafiri kuelekea Ngara au Bukoba. Na hiyo haikumaanisha sisi sote tulikuwa wanajeshi.

Maeneo ambayo hali ya usalama ni mdogo kama vile maeneo yaliyopo mpakani mwa Israel na Gaza, au Israel na Lebanon, kunakuwa na tahadhari za kawaida za kiusalama. Lakini pia maeneo hayo yanakuwa na askari walinzi wa mipakani.

Kukitokea ambush, askari pia huwasaidia raia namna ya kujiokoa.

Lililo wazi ni kwamba mashetani magaidi ya Hamas yamewaua vijana wetu. Lililo baya zaidi, hata humu nchini tuna magaidi. Mengine ndiyo yale yaliyofanya mauaji kule Kibiti, Mkuranga na Tanga. Lakini mengine tunayo humu mtaani, ndiyo haya ambayo kila siku ya awatetea magaidi ya Hamas. Haya magaidi ya mtaani tunayoishi nayo, yana roho ya ugaidi, hayajapata tu mazingira ya kutekeleza uovu wao uliopo mioyoni mwao.

Tuzidi kuomba magaidi ya Hamas na magaidi mengibe yote yaangamizwe, ili Dunia iwe mahali sakama pa watu wema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…