Umewahi kufika Israel ukaziona na hizo nyumba zenye safe rooms mkuu?Ninavyojua mimi ni kuwa Israel nyumba nyingi hasa zile zilizo karibu na Gaza zina vyumba vinavyoitwa ''safe room'' kwa ajili ya kujificha wakati wa mashambulizi na ndani ya hivyo vyumba kuna vifaa vya kujikinga na mashambulizi kama bullet proof.
Alikuwa anaishi na wanajeshi ??Ninavyojua mimi ni kuwa Israel nyumba nyingi hasa zile zilizo karibu na Gaza zina vyumba vinavyoitwa ''safe room'' kwa ajili ya kujificha wakati wa mashambulizi na ndani ya hivyo vyumba kuna vifaa vya kujikinga na mashambulizi kama bullet proof.
Kufuatia kifo cha Mtanzania Joshua Mollel aliyeuwawa na kundi la Hamas, Baba yake mzazi amefunguka na kusema kuwa alifika eneo alilokuwa akiishi na mwanae ambapo alipata taarifa kuwa kundi la Hamas liliwavamia na kisha kuua wanajeshi watano, ambao walikuwa wakiishi eneo Moja na Joshua!
Ameeleza pia Joshua alikutwa akiwa amevaa Bulletproof, ambapo walimchukuwa na Kisha baadae kumuua.
Kwa maelezo hayo hakika imeendelea kuleta sintofahamu, iweje Joshua ambaye alikwenda Israel Kama mwanafunzi, kuishine eneo Moja na wanajeshi hao waliouwawa pia.
Vile vile suala la kukutwa akiwa amevaa Bulletproof nalo ni kitendawili, kwamba je alipewa avae kama raia wa kawaida ama ni mazingira gani yalipelekea kuvaa hizo bulletproof.
Lakini pia ikumbukwe Hadi Sasa mwili wake haujapatikana na haieleweki Hamas walikouifadhi ama kuupeleka.
Hivyo ni vyema serikali ikaja na majibu sahihi kufuatia hili jipya lililoibuka.
View: https://www.instagram.com/reel/C1crB_6KGs0/?igsh=OGY3MTU3OGY1Mw==
Pengine walimchukuwa kutoka kwenye eneo baada ya kuua wale wanajeshi? Kama mlifuatilia maelezo ya mwanzoni wakati wa shambulizi ni kuwa ilikuwa ni ambush na kawaida hayo maeneo yanakuwa na askari muda wote. Sasa walipovamiwa kitu walichofanya kila mtu alikimbilia kwenye safe room (hili ni jambo la kawaida na nyumba zote zina safe room). Hamas walikuwa wamejiandaa sana, hivyo walianza kuvunja safe rooms (huwa zinakuwa na milango ya chuma cha pua) na mara nyingi hujengwa kwa kuchimba chini, bila kuwa na dirisha. Waliweza kuvunja milango ya nyumba nyingi na kuchukuwa mateka au kuua watu wengine.Aliuawa na wenzie ila video ndio kwanza inaonyesha yupo barabara na pale ndio wanaanza kumpiga ...Kiufupi ndugu yetu Mtanzania kauliwa ila maelezo ya mzee na video ni vitu tofauti kabisa.
Tukubali amekufa kuchambua hakuna maana kwa vile naona uongo ni mwingi, huyu mzee kapewa story ila haiendani na clip iliyosambaa mwanzoni.
Wanasema kauliwa ila taarifa za awali walisema katekwa yeye na mwenzie.
Ndio Kuna ubaya: Huo ushirikiano unaenda kuwa train Vijana wako Kwa kushughulika na Hamas? Ulitaka Hamas wakuchekee au?we jamaa ni mjuvi wa mambo nyeti, unajua tuna ushirikiano wa ulinzi na usala na israel? Kwa kuwa wame advance kimedani tukipeleka vijana wetu wakafundishwe huko kuna ubaya? Unaenda mafunzoni mara unakutana na kitu halisi ulichoenda kujifunza itabidi uingie mzigoni kufa na kupona. Je kama alikuwa anajifunza ukomando?
Nimefika mara nyingi tuUmewahi kufika Israel ukaziona na hizo nyumba zenye safe rooms mkuu?
Kuna video ya tatu watanzania wengi hwajaiona ...Ule mwili jamaa walipiga parade na kuuzungusha akiwa uchi na boxer tu .Pengine walimchukuwa kutoka kwenye eneo baada ya kuua wale wanajeshi? Kama mlifuatilia maelezo ya mwanzoni wakati wa shambulizi ni kuwa ilikuwa ni ambush na kawaida hayo maeneo yanakuwa na askari muda wote. Sasa walipovamiwa kitu walichofanya kila mtu alikimbilia kwenye safe room (hili ni jambo la kawaida na nyumba zote zina safe room). Hamas walikuwa wamejiandaa sana, hivyo walianza kuvunja safe rooms (huwa zinakuwa na milango ya chuma cha pua) na mara nyingi hujengwa kwa kuchimba chini, bila kuwa na dirisha. Waliweza kuvunja milango ya nyumba nyingi na kuchukuwa mateka au kuua watu wengine.
Israel kila mtu ni mwanajeshi wa akibaAlikuwa anaishi na wanajeshi ??
Shambulizi la ghafla na kubwa kama lile bila shaka lilikuta watu wakiwa kwenye maeneo mbalimbali na hivyo kitu cha kwanza ni kila mtu kukimbilia kwenye safe room iliyo karibu. Wanajeshi wa Israel walielemewa na wao wakaingia mafichoni hivyo uwezekano wa kukutana ndani ya safe room watu wa wasiojuana ni mkubwa.Alikuwa anaishi na wanajeshi ??
Huwa sikisii.Kufuatia kifo cha Mtanzania Joshua Mollel aliyeuwawa na kundi la Hamas, Baba yake mzazi amefunguka na kusema kuwa alifika eneo alilokuwa akiishi na mwanae ambapo alipata taarifa kuwa kundi la Hamas liliwavamia na kisha kuua wanajeshi watano, ambao walikuwa wakiishi eneo Moja na Joshua!
Ameeleza pia Joshua alikutwa akiwa amevaa Bulletproof, ambapo walimchukuwa na Kisha baadae kumuua.
Kwa maelezo hayo hakika imeendelea kuleta sintofahamu, iweje Joshua ambaye alikwenda Israel Kama mwanafunzi, kuishine eneo Moja na wanajeshi hao waliouwawa pia.
Vile vile suala la kukutwa akiwa amevaa Bulletproof nalo ni kitendawili, kwamba je alipewa avae kama raia wa kawaida ama ni mazingira gani yalipelekea kuvaa hizo bulletproof.
Lakini pia ikumbukwe Hadi Sasa mwili wake haujapatikana na haieleweki Hamas walikouifadhi ama kuupeleka.
Hivyo ni vyema serikali ikaja na majibu sahihi kufuatia hili jipya lililoibuka.
View: https://www.instagram.com/reel/C1crB_6KGs0/?igsh=OGY3MTU3OGY1Mw==
Umechemka arawa, umechanganya id ya kujibia. Niliku quote kwenye id ya macho_mdiliko . Ungejibia ile ile mangiNimefika mara nyingi tu
Niliambiwa na jamaa kutoka huko. Siyo Israel tu ila niliwahi kwenda Finland na kukuta nyumba kama hizo. Ni kila nyumba inakuwa nazo, na ndani wanaweka vitu vya akiba iwapo litatokea la kutokea.Umewahi kufika Israel ukaziona na hizo nyumba zenye safe rooms mkuu?
Unafikiri Serikali ingekuwa haielewi kinachoendelea ingemfanyia safari baba'ke Joshua aende huko? Akawe mgeni wa nani?Wote wahuni hakuna wakuwaamini
Hawa wajinga ndiyo waliwao wameaminishwa ujinga na mazayuni.ETI taifa teule?! My ass!
Fuatilia story za wayahudi OG. Ni MAKATILI wauaji, waporaji wa ardhi, wana roho ngumu kuliko almasi!
Wana laana ya milele hao! Hawapendi wakristo au waislamu, weusi au wanjano!
Tena wa Sasa ni wa kuiga tu, na mnajuwa watu wakuiga walivyo wabaya kuliko wale OG!
Huyo Mungu mwarabu mnayemuabudu ni hopelessSi ndio maana kaenda baba kuchukua urithi wa mwanae na kupewa fact yote
Huyo Mungu wenu mmoja hana mshirika mwarabu ni hopeless. Bure kabisa.Hawa wajinga ndiyo waliwao wameaminishwa ujinga na mazayuni.
Waisome histoia ipi hao najisi wala najisi, hata wakinya wanatoka na najisi mpaka wayahudi wanawatemea makohozi njiani.