Hamas walimkuta Joshua amevaa bulletproof

Nafikiri umeona wenye akili wanavyoweza kukutoa kwenye matusi na kuongea kawaida.

Nilifikiri ni kweli unajiamini kumbe coward?
Tunaamua tu uache kutukana na unaacha.

Umeona mpaka sasa ulivyo foolish
Tukikuambia uache matusi unaacha mara moja,

Hongera dogo umekua kijana kizuri
 
Ni kashfa kubwa kuhusu Joshua Mollel na serikali.
Aliyekufa Urusi angalau ilielezwa kuwa alikuwa mfungwa aliyekubali kujiunga na Prighozin ili baadae aachwe huru.
je kama joshua alitekwa na kuvalishwa gwanda na kupelekwa mstari wa mbele kwenye mapambano, hapo vipi?
 
Elewa joshua amekutwa kambini na wenzake hapo hapo wanajeshi wa 5 waliuwawa. Yeye akatolewa nje na hamas wakamchukua. Hao watoto na watu wengine wao waliuwawa kwenye tamasha la music siyo kambini.mbona haihitaji akili nyingi kutambua kijana wetu alikuwa mpiganaji?
 
Aisee..
 
Bado sana hujajua mambo ya kijeshi kama unaamini kila askari huwa kuna siri nzito wanazitunza huo ni uongo kwenye nchi wanaojua mambo muhimu na kutunza siri ni wachache sana askari wanatumika kama walinzi tu hata ukinpenyeza mamluki kwenye jeshi lolote ataishia kuwa mpiganaji tu anaepewa maelekezo ambayo ni amri kwake na muda mwingine huwa wanapigana bila kujua uhalisia kuwa wanachopigania ni nini

ili ujue siri inabid uwe na nafasi kubwa kitu ambacho siyo rahisi kupata hiyo nafasi kama hawana uhakika na historia yako, kwahiyo huyo Mollel anaweza kutumika vizuri tu kama askari wa IDF kwa manufaa ya Israel
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtasema tu ukweli
 
Kwanza ulishawah kufika Israel ukajua wanaishije Chief. Halafu unatakiwa kujua hilo eneo ni eneo hatar kijesh kuvaa bullets proof mbona kawaida
Kuvaa bullet proof kawaida!!!!!
🤣🤣🤣
 
Nimemuuliza swali jamaa anayesema Hamas walaaniwe Kwa kuishambulia Israel.
ni wapuuzi, wameanzisha vita ambayo hawana uwezo wa kushinda, ona sasa maangamizi wanayoyapata. Waombe mazungumzo ya amani vita iishe
 
Kuna jambo halisemwi. Halitasemwa.
Mimi pia kijana wangu alikua aende kwenye mafunzo ya kilimo pia.
 
Huyu baba mtu aliyeenda juzi tu kaja na hizi taarifa?

Uchunguzj kaufanyia wapi?

Kama ameweza kuchunguza na kujua kijana alivaa bulletproof kwanini hajui sababu ya kuivaa?
Kapewa habari na wahusika wenyewe.
Machache kaongea. Mengine ni yake mwenyewe...
 
sasa kama mmeenda kupata kupata mafunzo ya kimedani kwenye nchi fula, mara inatokea vita, si ndiyo fursa ya kupelekwa kwenye uwanja wa vita ukajifunze kwa vitendo? Wangejifunzia wapi kwa vitendo?
Sasa kitakachokukuta huko usilaumu,ni Ajali kazini
 
Magaidi wa kiislamu wafusia wa allah kundi la Hamas ndio walio muuwa Joshua
Na balozi anaewakilisha palestina na eneo la gaza tunae hapa nchini.
Huyo atakuwa ni shoga, alienda kufanya nini na mashoga?
 
Hebu kuweni wazalendo wa nchi yetu acheni kuhojihoji kijana kafaje katika mazingira yale ya vita. Kuna mambo haihitaji akili kubwa kuyaelewa kimedani
Uzalendo wa kwenye ushoga??😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…