Mimi nina boxer ya kijeshi na handkerchief ya kijeshi na sio mwanajeshi. Tumia akili ata kwa kuazima tu.Huyu alikuwa askari, Ile pensi/boxer ya kijeshi iliyoonekana amevaa wakati akiburuzwa inafikirisha!!
Yawezekana alijiunga na jeshi la Israel Kwa Siri bila "sirikali" ya Tz kufahamu, ama Siri Kali ilipeleka vijana huko ikijua watakwenda kufanya nini, ila ikatumia chambo ya kilimo!!!
Hili litakuwa ni gumu Kwa sir-kale kukiri hadharani!!
Mtz aliyeuwawa akipigana Urus Hadi Leo kimyaaaaa!!!!
Kwa Israel ni jambo la kawaida kujiandaa na emergency. Sio yeye tu. Raia kibao wana bullet proof vests na kila nyumba ina safety bunkers. Hiyo bado sio sababu.Kufuatia kifo cha Mtanzania Joshua Mollel aliyeuwawa na kundi la Hamas, Baba yake mzazi amefunguka na kusema kuwa alifika eneo alilokuwa akiishi na mwanae ambapo alipata taarifa kuwa kundi la Hamas liliwavamia na kisha kuua wanajeshi watano, ambao walikuwa wakiishi eneo Moja na Joshua!
Ameeleza pia Joshua alikutwa akiwa amevaa Bulletproof, ambapo walimchukuwa na Kisha baadae kumuua.
Kwa maelezo hayo hakika imeendelea kuleta sintofahamu, iweje Joshua ambaye alikwenda Israel Kama mwanafunzi, kuishine eneo Moja na wanajeshi hao waliouwawa pia.
Vile vile suala la kukutwa akiwa amevaa Bulletproof nalo ni kitendawili, kwamba je alipewa avae kama raia wa kawaida ama ni mazingira gani yalipelekea kuvaa hizo bulletproof.
Lakini pia ikumbukwe Hadi Sasa mwili wake haujapatikana na haieleweki Hamas walikouifadhi ama kuupeleka.
Hivyo ni vyema serikali ikaja na majibu sahihi kufuatia hili jipya lililoibuka.
View: https://www.instagram.com/reel/C1crB_6KGs0/?igsh=OGY3MTU3OGY1Mw==
Niliuliza tupate maoni ya upande wa pili sidhani kama nilisikilizwa.Nikikumbuka povu la wabongo baada ya ile taarifa ndio utaelewa hii nchi vilaza ni wengi tunatukanana hapa kumbe dogo alikua kambini.
suala la kufungua shule hiyo defense to comfort your emotional.Angalia wenzako wanakuja na hoja! Lini mnafungua shule maana humu J.F hapakaliki
Leta hoja wewe uliekurupukia kujibu comments zangu maana nilikuwa na bishana na watu kidogo wananikaribia level ila naona dogo ukarukia commentssuala la kufungua shule hiyo defense to comfort your emotional.
Kama unayo hoja weka hapa tujadili.
Una akaunti zaidi ya sita?😂
Hio mechanism ya kujilinda unatumia 21st century?
Behaviour pattern za watu wenye wajukuu huwezi kuwa humo!Wewe ni sawa na mjukuu wangu kuwa na adabu nyang'au
Wala sipingani na wewe yawezekana walio muuwa Joshua ni wayahudi maana ile video ukiiangalia vizuri ina utataKama ungekuwa smart ungejua kuna maswali ambayo hayajibiwa
1. Kwa nini Joshua auwawe na kuchukuliwa mwili wake ila askari wauwawe na kuachwa hapo
2. Tangu lini waislam (hata kama ni waasi) wakakaa na mwili wa mtu aliyekufa
3. Umewahi kuona au kusikia video yoyote ya mtu aliye uwawa katika hiyo vita na kurecodiwa video nzuri vile wakati anauwawa
4. Kusema Allah akbaru kusikuchanganye; Kwani muislam akisema Yesu! maana yake ni Mkristo!
5. Pengine hata hizo sare mnazo ita za kijeshi alivalishwa kabla ya kufanyiwa huo unyama ili kuchanganya watu
6. Nahisi sababu za kifo chake hazikuwa zinaeleweka vizuri (zipo kama movies) na ndio sababu wakaona Mzazi wake aende akaelezewe mwenyewe....
Sitaki kuhukumu ila kinacho onekana hapa ni kama vile, kijana wetu ametolewa kafara kufanya kundi moja liungwe mkona na watu weusi!
Subiri nipige "morning glory" kwa shemeji yako, wewe usiekuwa na demu kapige masta bafuni!Behaviour pattern za watu wenye wajukuu huwezi kuwa humo!
Kuna mawili.
Mosi, upo kwa wazazi.
Pili, jobless.
njoo tuongelee hoja mdogo wangu.
Wewe ndio ulikuwa unabishana sababu bado upo kwa wazazi😂Leta hoja wewe uliekurupukia kujibu comments zangu maana nilikuwa na bishana na watu kidogo wananikaribia level ila naona dogo ukarukia comments
Behaviour pattern za watu wenye wajukuu huwezi kuwa humo!
Kuna mawili.
Mosi, upo kwa wazazi.
Pili, jobless.
njoo tuongelee hoja mdogo wangu.
Sibishani na wasengewasenge kama wewe, kojoa ukalale.Kama wewe ulivyo mpiganaji upande wa Hamas.
Ukikua utaacha kubishana na wakubwa, kaoge uende tuishieniWewe ndio ulikuwa unabishana sababu bado upo kwa wazazi😂
Angalia sir john roberts, tazama bwana utam hao ndio wanajadilana kwa hoja wewe huna unalojua zaidi ya matusi na baada ya kujiona mjinga umeacha kutukana!
Una pointi?
Mpaka sasa nishaona nabadilishana jumbe na mtu mwenye tatizo.View attachment 2857166
Kwamba mtu "jobless" ale vyuma kama hivi? Kuwa serious mdogo wangu!
Haha unakimbia niniMpaka sasa nishaona nabadilishana jumbe na mtu mwenye tatizo.
Have a nice day.
Umegundua mimi level nyingine tafuta wa level yako dogo!Mpaka sasa nishaona nabadilishana jumbe na mtu mwenye tatizo.
Have a nice day.
Nguo za fatigue ni za kawaida kwa wenzetu, siyo kile mwenye kuvaa fatigure ni mwajeshi bali hizo ni nguo za suluba kwa mfano kufanya kazi mashambani au kuwinda maporini. Jeshi la Israel halichukui mtu asiyekuwa Myahudi kuogopa kutoa siri. Jeshi lote la israeli ni la wayahudi tu. Yeye kuisha eneo moja na askari wa israle siyo jambo la ajabu kwa vijana wote wa israle ni wanajeshi; kuna wale ambao ni active na wale wa akibaHuyu alikuwa askari, Ile pensi/boxer ya kijeshi iliyoonekana amevaa wakati akiburuzwa inafikirisha!!
Yawezekana alijiunga na jeshi la Israel Kwa Siri bila "sirikali" ya Tz kufahamu, ama Siri Kali ilipeleka vijana huko ikijua watakwenda kufanya nini, ila ikatumia chambo ya kilimo!!!
Hili litakuwa ni gumu Kwa sir-kale kukiri hadharani!!
Mtz aliyeuwawa akipigana Urus Hadi Leo kimyaaaaa!!!!
When i choose to keep quiet it doesnt mean that i am afraid of you or i agree with what you said, it means your level of stupidity left me speechlessUmegundua mimi level nyingine tafuta wa level yako dogo!
Don't bring silly quotes here just agree that you can't compete with me on anything I would rather compete with a cow thank you un matured boyWhen i choose to keep quiet it doesnt mean that i am afraid of you or i agree with what you said, it means your level of stupidity left me speechless
✌️Peace