Ndiyo kwa sababu hiyo ni common knowledge inapokuja kwa maisha ya waisrael. Yaani unaambiwa Masai anatembea na mkuki wewe unashangaa?!K
Kwahiyo kama sijawahi kumuona Mungu nisiulize anachosema huyu jamaa kuhusu nyumba kuwa na mashimo?
Nyie watumwa wa fikra mna shida sana aisee
Ndiyo wewe unayeshabikia
We ujui kwamba rais wako ni muarabu sema bongo bahati mbaya?Kinacho leta sinto fahamu ni serikali kutojitokeza kutolea ufafanuzi wa hili jambo wamekaa kimia sijui wana ficha nn hasa ambacho hatutakiwi kujua ,yaani maccm ni majitu ya hovyo sana.
koma, usinipe tabia nisiyokuwa nayoHuyo atakuwa ni shoga mwenzake
Kwa mujibu wa allah mungu wa kiarabu wamelaaniwa...ila wanawanyoosha waarabu full dozi.....na Mungu wao YehovaWayahudi wana laana kali sana, kuranda jangwani miaka 40 si mchezo
kumbe unajua nini maana ya shoga ??koma, usinipe tabia nisiyokuwa nayo
angalia wanavyosambaratishwa na drones, kinachoruka ni vipande vya nyama tu ambavyo mbwa na paka wanapita wakivila mchana.
View attachment 2857433
hiyo ni kawaida vitani mzee, nilichokuwa naongelea ni pale mtu anapojifanya kukimbia drones, ambo ipo hewani. wanafatua kama nini.
Kambi ya Kilimo au kambi ya Wana jeshiBaba yake ameshasema Joshua alikua anaishi kambini.
Sielewi ni kwa nini hamtaki kuelewa.
Shujaa kivipi? Mashujaa hutumika/hufia nchi zao kwa uwazi.shoga ni wewe unaowaza ushoga kila wakati, yule kijana ni shujaa wetu kafia mazoezini kwenye vita halisi
This is such a dumb take. Huwa mimi siongei na terrorists wa JamiiForums ila this is a nonsense take. Kwahio wa Thailand wanaoenda kufanya kazi wanaenda kufanya hivyo unavyosuggest? This was an innocent kid killed ffskama israel tunawa appreciate kwa mambo ya kimedani tukipeleka vijana wetu shule huko nje, ukute taifa hilo linaingia vitani, hao wanafunzi wa medani itabidi wainginzwe kwenye mafunzo ya kivitendo moja kwa moja kufa na kupona. Mafunzo kwa vitendo kwenye eneo halisi. Hujui kuwa angepona angefuzu mafunzo ya ukomando kwa faida ya nchi yako?
Wanafunzi wameenda miaka nenda rudi kwenye haya mafunzo. Mashambuliz yameanza Oct 7.Kama tunakiri ni eneo hatari , iweje tupeleke kijana kujifunza kilimo eneo Hilo?
Dumb assSawa sawa na hii ya kumpeleka baba ake ni kwenda kupewa ukweli na urithi wa mtoto wake km mzazi ...itakua ndio jina alilojaza km mrithi ikitokea amekufa ni baba ake
Na huo mwili lzm Hamas waliiutupa au wameuchukua km ushahidi kuwa Israel ina mamluki ..na kuoneshana ktk site zao mitandaoni
Kifupi Joshua alikua soldier wa IDF
Israel kuna waethiopia ambao waliletwa kwa wingi na serikali ya Israel. Wengi Sura zao zinafanana na Niloites au wamasai, Somali etc. This is not proof
Hamna faida, jeshi halina vifaa vingi vya kisasa. Watajifunza na watakaa mpaka wanastaafu hawatawahi kutumia.Kwa putini tunatakiwa tumuombe tumpe vijana kadhaa wafundishwe medani huko kwenye uwanja wa vita vijana wakajue namna ya kutumia zana za kisasa za kivita, kidigitali, wengine nako tumuombe zelensky atufundishie kutumia yale masilaha ya nchi za magharibi anayopewa kuibondea urusi. Vijana wetu inshaallah wakirudi toka field watakuwa ni wataalamu wa kutumia silaha hizo kali. Si vibaya kuwa na wataalamu wa kutumia zana hizo