Hamas walimkuta Joshua amevaa bulletproof

Duh
 
Joshua alikuwa kwenye kikosi cha jeshi la Israel,kuna picha alionekana akiwa kitandani akiwa na wanajeshi wa Israel siku waliyotembelewa na Netanyahu.

Tunaomba hiyo picha. Pia isiwe ya kughushi.
 
Katika watu ambao naiomba sana serikali yangu ijitenge nao ni hawa majahudi na maislam. Hakunaga watu wabaya kama hawa maviumbe.
Yanatekeleza maovu yao kwa kumshirikisha Mungu.
Bora tuendelee kushirikiana na Wachina huku tukichukua tahadhari. Maana wao wanakuja kibiashara. Hawataki kujihusisha na itikadi, siasa wala chochote chako. Wenyewe wanataka mfanye bizines, basi.
 
Mimi nina boxer ya kijeshi na handkerchief ya kijeshi na sio mwanajeshi. Tumia akili ata kwa kuazima tu.
Wewe umetumia akili za kuazima kutoka wapi? Ama nzi ndio wamekuazima akili zao?
Hivyo vitu uhalali wa kuvimiliki umetoa wapi..?
 
Joshua alikuwa kwenye kikosi cha jeshi la Israel,kuna picha alionekana akiwa kitandani akiwa na wanajeshi wa Israel siku waliyotembelewa na Netanyahu.
Hii picha ingepatikana ingeleta umuhimu mkubwa sana,ingawaje kwa wenye kuwaza mbali hadi sasa watakua wameliona hilo haswa jinsi serikali ya Israel ilivyotoa ushirkiano kupitia jeshi lake ikiwemo kuidafirisha familia hadi Israel,hiyo sio hadhi ya mwanafunzi anaesoma, wanafunzi wangapi wanafia ughaibuni?!! Wanapewa treatment kama za Joshua Molel?!!

Ni muda sasa serikali yetu itoe taarifa kuhusu Mtanzania mwingine alikua sambamba na Joshua,kwa nini mpaka Leo jina lake halitajwi na wala hakuna taarifa zaidi?!!
 
Kabisa mkuu...yan watu wa Hivi wana unafiki wa hali ya juu,hv kma ni kweli jamaa alikuwa anatumikia jeshi la wazayuni hv atakuwa ameuA waoalestina wangapi? Hv wale palestines ni mawe?
Watu wamekaza tu "mtanzania mwenzetu" unafiki mkubwa
Huyo atakuwa ni shoga mwenzake
 
Kuliko kupeleka vijana congo na afrika ya kati si bora kupeleka vijana huko israel na urusi/ukraine wakaive kimedani? Kufa kupo kila mtu atakufa
Yaani wapelekwe wakafie ushoga ?
 
Pumbavu sana, heshimu raia wenzako bila kujali dini zao. Sikitaka kupoteza shujaa wa taifa lako angerudi angekuwa mlinzi shupavu wa taifa lako
 
Sijasema Mimi , wayahudi wenyewe waisraeli wanajisifu kuwa nchi yao inaongoza kwa ushoga , wewe Myahudi wa Manzese unakuja kutetea laana hiyo?
mashoga ndio kitu gani? Naona umekomalia tu kitu hicho
 
K
wewe ukliwahikumuona Mungu? au kufika mbinguni?
Kwahiyo kama sijawahi kumuona Mungu nisiulize anachosema huyu jamaa kuhusu nyumba kuwa na mashimo?

Nyie watumwa wa fikra mna shida sana aisee
 
Ngoja na mm niingie kwenye huu mjadala, ambao umekuwa unaendelea karibu mwezi mmoja sasa. Natumain nitatao extensive insights, ambayo itawasaidia vijana wa kizazi hiki cha sasa. Nataka kuwambia kitu muhimu sana, ambacho wengi hamkijui. Hapa, Tanzania mwalimu alianzisha JKT , na kuhakikisha kuwa kila atakayemaliza chuo cha ualimu au kidato cha sita, lazima ajiunge. Dhumuni la JKT ilikuwa kuwapata, vijana wakakamavu na ambao watalinda nchi yetu, mahali popote. Na wazo hili mwalimu alilipata kutoka kwa wa Israeli. Walimwambia ili kuwa, na vijana shupavu na wanaweza, kulinda Taifa, lazima kila MTU apate mafunzo ya JKT hasa wasomi. Kwa, mantiki hiyo kijana yeyote wa Israel au mgeni, katika nchi hiyo, lazima ajiunge na mafunzo maalum ya kuwa, mkakamavu na pia kulinda nchi yake.Ni dhahiri huyu kijana wetu alikuwa, katika mafunzo maalum ya ukakamavu ndio maana alikuwa amevaa bullet proof. Na pia, alikuwa na wanajeshi wengine, wanaohusika na mafunzo ya kijeshi. Ni jambo la kawaida. Kuhusu, kwamba wale HAMAS kumkamata barabarani, hii ni kwa kuwa baada ya kumteka waliondoka nae, na walikuwa, wanamuhoji njiani. Ni hayo machache tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…