Hamas wafanya balaa

Status
Not open for further replies.

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054

JERUSALEM – A Palestinian roadside bomb killed an Israeli soldier patrolling the border with Gaza on Tuesday, and Israel responded with an airstrike that wounded a Hamas militant in a flare-up of violence that undermined a cease-fire on the eve of a visit by the new U.S. Mideast envoy.

Israel briefly sent tanks and bulldozers across the border into Gaza after its soldier was killed and three others were wounded in the bombing. Hamas said the Israeli airstrike wounded one of its militants as he rode a motorcycle in the southern Gaza town of Khan Younis.

It was the worst bloodshed since the sides declared the cease-fire on Jan. 18to end a three-week Israeli offensive.

Since withdrawing its troops, Israel has threatened to retaliate hard for any violations of the informal truce.

"We will respond, but there is no point in elaborating," Israeli Defense Minister Ehud Barak said during a trip to a military base in southern Israel. Later, he convened an emergency meeting of top security officials. He spoke with Prime Minister Ehud Olmert after the meeting, but no details were released.

Olmert later hinted that a much tougher response could soon follow, telling a gathering of senior civil servants that Israel is not bound by any formal cease-fire with Hamas. "Israel's response has yet to come," he said.

Early Wednesday, Gaza residents reported two Israeli air strikes targeted smuggling tunnels under the Gaza-Egypt border. There were no immediate reports of injury but hundreds of people fled the area.

Israel's military had no immediate comment on the report and the purpose of the strikes wasn't clear. One of the goals of Israel's offensive has been to halt weapons smuggling, but despite hundreds of strikes during the war smugglers resumed work after the cease-fire.

There was no immediate claim of responsibility for the bombing, but Ramattan, a Palestinian news agency, later released a video of the roadside bombing allegedly filmed by militants it did not identify.

The video showed a large explosion next to a jeep moving on the Israeli side of the border fence. A huge plume of smoke emerges as the jeep stops. Two Israeli soldiers are then seen running toward the jeep, and gunfire is directed at them before a secondary blast hits them, too.

Mushir al-Masri, a Hamas lawmaker, said Israel was to blame for continuing to fire into Gaza. Al-Masri said his group had not agreed to a full cease-fire but only to a "lull" in fighting. "The Zionists are responsible for any aggression," he said.

After Tuesday's blast, heavy gunfire was heard along the border in central Gaza, and hovering Israeli helicopters fired machine gun bursts, Palestinian witnesses said. An Israeli jet set off a loud sonic boom over Gaza City not long afterward, possibly as a warning.

Palestinian residents said Israeli tanks and bulldozers also entered the area where the roadside bombing took place and were tearing up some vacant land — apparently to prevent it from being used to stage attacks.

Not long after the bombing, a 27-year-old Gaza farmer was killed by Israeli gunfire along the border several miles away, Palestinian medical officials said. The military had no comment, and it was unclear if the two incidents were related.

The violence cast a shadow over the arrival of George Mitchell, President Barack Obama's special Mideast envoy. Mitchell arrived in Egypt on Tuesday and was set to visit Israel on Wednesday for three days of talks with Israeli and Palestinian leaders on how to get stalled peace efforts back on track. Mitchell is expected to meet Olmert, top security officials, and the pro-Western Palestinian president, Mahmoud Abbas.

Mitchell has no plans to meet with Hamas, which the U.S., Israel and European Union consider a terrorist group. Hamas seized Gaza from forces loyal to Abbas in June 2007. Hamas' control of Gaza, and its refusal to recognize Israel's right to exist, are considered major obstacles to peace efforts.

The decision to appoint a presidential envoy and send him to the Middle East so early in the administration is a sign that Obama intends to take a more active approach to the region than did his predecessor. As the man who brokered Northern Ireland's Good Friday peace accord in 1998, Mitchell also brings gravitas to the job and a proven record of resolving seemingly intractable disputes.

In an interview Monday with the Arab satellite channel Al-Arabiya, Obama said he felt it important to "get engaged right away" in the Mideast. He said he directed Mitchell to talk to "all the major parties involved" and that his administration would craft an approach after that.

"What I told him is start by listening, because all too often the United States starts by dictating," Obama said. At his West Bank headquarters, Abbas said he was looking forward to working with the new administration. "Obama has said good words," he told a news conference. "We are waiting and we need to see if this administration is serious on achieving peace within this year."

Abbas also took aim at his Hamas rivals, accusing the group of bringing "destruction" upon the people of Gaza by inviting the Israeli offensive. Israel launched the operation in response to years of Hamas rocket attacks, including heavy barrages in the days before the invasion.

The offensive killed nearly 1,300 people, including hundreds of civilians, and caused an estimated $2 billion in damage. The international community is trying to broker a long-term cease-fire and figure out how to rebuild the coastal territory.

In Gaza, the prime minister of the Hamas government said his group would not try to claim any international construction funds. The announcement from Ismail Haniyeh, who remains in hiding because of fears of being assassinated by Israel, appeared directed at donors who concerned their funds could end up in Hamas' hands.

"Our aim now is to ease the suffering of our people and to remove the aftermath of the aggression in Gaza," the statement said. "Therefore we emphasize that we are not concerned to receive the money for rebuilding Gaza and we are not seeking that."
 
Hamas wamewashambulia Israel dunia iko kimya, Israel ikijisu na kuwashushia kichapo dunia inapiga mayowe. Maana yake nini? Nadhani ni vema dunia ikae kimya tu na kuwaachia Waisrael na Wapeletina wazipige atakezidiwa aombe suluhu, basi!
 
Hivi unapoandika haya unakuwa umefikiria au ndiyo ushabiki tu wa mradi nami nitoe mawazo yangu?. Naheshimu mawazo yako sana ila sikubaliani nayo kwani yapo biased.

Mtu akiingia nyumbani kwako bila ridhaa yako na akaangukiwa na ukuta utakuwa umemuua au kajiua, na je ikitokea mmatumbi kaua mtu unaenda piga wamatumbi wote?, mtafute huyo aliyefanya hivyo mkamate na siyo kuwa kama umerukwa na akili na kuua watu wasiokuwa na hatia.
 
Umeshasikia makelele? Au unaandika tu? Kwa taarifa yako na wao wameshaauwa tayari watu kadhaa. Ila kinacholalamikiwa ni kuwa mtu wao mmoja kauwawa na wao wanauwa 100. Nchi ya watu mnavamia na wenyewe wakidai mnawachapa. Sijui kama wewe huko kwenu mtu angekuja na kuwatoa kwenu na kuwafukuza, ungelisema nini. Hata South Africa ilikuwa hivi hivi ila wao waliyamaliza. Huko Palestine/Izrael hii kitu haipo na kitu kibaya ni kuwa kuna watu wengi tu wanataka huu ugomvi uwepo. Hawa ni USA, British, Saudi Arabia, Egypt, Warusi nk.
Kuwaacha wazipige ni wazo zuri ila tu tuseme kwamba, acha na Palestine wapate silaha kutoka Urusi na Iran ili walau nguvu iwe sawa. Nafikiri vita itakayokuja kama watapigana na Hesolah,kazi itakuwepo maana jamaa nao kwa sasa hawajambo kwa silaha. Hii vita ya kupigana F16 vs manati??
 
Sasa unapovamiwa nyumbani mwako na vibaka na kuvunjiwa mlango tu ukajibu in retaliation na majibu yakawa na madhira makubwa kwa adui ni haki kulaumiwa ati umewapiga sana? Nadhani kichapo lazima kiwe kikubwa ili wakitaka kurudi wajiulize mara mbili mbili na kama hawawezi kustahimili wasije tena.

Hivi unajua vizuri mgogoro wa Israel na Palestina? Waisraeli walirudi pale 1948 kutoka utawanyikoni walikokimbilia baada ya kupigwa na adui zao na wakakuta Wapalestina wametamalaki. Je, ulitaka waende wapi?
 
Hivi unapoandika haya unakuwa umefikiria au ndiyo ushabiki tu wa mradi nami nitoe mawazo yangu?. Naheshimu mawazo yako sana ila sikubaliani nayo kwani yapo biased.

Mtu akiingia nyumbani kwako bila ridhaa yako na akaangukiwa na ukuta utakuwa umemuua au kajiua, na je ikitokea mmatumbi kaua mtu unaenda piga wamatumbi wote?, mtafute huyo aliyefanya hivyo mkamate na siyo kuwa kama umerukwa na akili na kuua watu wasiokuwa na hatia.

Muwe mnasoma habari kamili kidogo basi...

The video showed a large explosion next to a jeep moving on the Israeli side of the border fence. A huge plume of smoke emerges as the jeep stops. Two Israeli soldiers are then seen running toward the jeep, and gunfire is directed at them before a secondary blast hits them, too.
 
Sasa unapovamiwa nyumbani mwako na vibaka na kuvunjiwa mlango tu ukajibu in retaliation na majibu yakawa na madhira makubwa kwa adui ni haki kulaumiwa ati umewapiga sana? Nadhani kichapo lazima kiwe kikubwa ili wakitaka kurudi wajiulize mara mbili mbili na kama hawawezi kustahimili wasije tena.

Hivi unajua vizuri mgogoro wa Israel na Palestina? Waisraeli walirudi pale 1948 kutoka utawanyikoni walikokimbilia baada ya kupigwa na adui zao na wakakuta Wapalestina wametamalaki. Je, ulitaka waende wapi?

Waliorudi kutoka huko walikokimbilia, una uhakika kuwa ni Waizrael? Walifanya kipimo gani kuwajua kuwa ni Wayahudi? Kuna jamaa yangu mmoja alikwenda USA, na kufika AIRPORT wakamchukua na kumpeleka kwa Rabin. Jamaa akapewa pesa ya mradi na akawa na pesa nyingi sana. Kisa hasa ni kuwa ANAONEKANA KAMA MYAHUDI. Ila jamaa hana uyahudi wowote, ila kafanana tu. Sasa ndiyo hawa waliorudi huko.
Mwisho nakupa HONGERA kwa kuandika vizuri. UNANIKUMBUSHA MAKABURU yalimwita MANDELA NI GAIDI. Yes, gaidi linalokwenda kuvamia na kuharibu mali za Wazungu na kuuwa wazungu kwenye nyumba, miji na mashamba yao huko kwao SOUTH AFRICA.
Hakuna anayesema Wayahudi wasikae pale. Ila wewe unaona kuwa WAPALESTINA hawatakiwi kukaa pale. Kuna makala hapa ilikuwepo juu ya huu ugomvi. HEbu itafute na uisome maana mengi yaliandikwa humo.
Nilishaongea na Mzee mmoja Myahudi. Akasema wazi kabisa kuwa hiyo ardhi haitoshi hata kwa Wayahudi wenyewe. Sasa itakuwa Wakimbizi wa Palestine zaidi ya milioni 5 waishio nje? Hawa hadi leo ni wakimbizi na wanaishi kwenye camp. Izrael inajua hilo na ndiyo maana wako busy kuongeza eneo ili kuziba nafasi hawa wasirudi. Kwako hili ni POA KABISA. Dawa ni moja tu nilishasema zamani. Kuwatafutia eneo huko jangwani, kuwaundia nchi popote pale duniani hata kama itakuwa ni ndani ya Sudan/Chad. Hawa jamaa wachukuliwe nusu huku na nusu kule, wapelekwe na kwenda kuishi huko. Vinginevyo dawa ni moja tu kuwa siku moja UYOGA wa JOTO uote hapo kama huko HIROSHIMA na watu kama milioni 10 wafe na watakaobaki watakuwa na eneo kubwa sana la kuishi, huku wengine wakizaliwa bila mikono, miguu, nk. Wewe wazo lako ni lipi au washabikia tu watu kuuliwa. Ngoja siku na wewe yakikufika, kwenu mvamiwe na FISADI kama Lowasa, liwafukuze bila hata kuwalipa fidia.
 
Waliorudi kutoka huko walikokimbilia, una uhakika kuwa ni Waizrael? Walifanya kipimo gani kuwajua kuwa ni Wayahudi? Kuna jamaa yangu mmoja alikwenda USA, na kufika AIRPORT wakamchukua na kumpeleka kwa Rabin. Jamaa akapewa pesa ya mradi na akawa na pesa nyingi sana. Kisa hasa ni kuwa ANAONEKANA KAMA MYAHUDI. Ila jamaa hana uyahudi wowote, ila kafanana tu. Sasa ndiyo hawa waliorudi huko.
Mwisho nakupa HONGERA kwa kuandika vizuri. UNANIKUMBUSHA MAKABURU yalimwita MANDELA NI GAIDI. Yes, gaidi linalokwenda kuvamia na kuharibu mali za Wazungu na kuuwa wazungu kwenye nyumba, miji na mashamba yao huko kwao SOUTH AFRICA.
Hakuna anayesema Wayahudi wasikae pale. Ila wewe unaona kuwa WAPALESTINA hawatakiwi kukaa pale. Kuna makala hapa ilikuwepo juu ya huu ugomvi. HEbu itafute na uisome maana mengi yaliandikwa humo.
Nilishaongea na Mzee mmoja Myahudi. Akasema wazi kabisa kuwa hiyo ardhi haitoshi hata kwa Wayahudi wenyewe. Sasa itakuwa Wakimbizi wa Palestine zaidi ya milioni 5 waishio nje? Hawa hadi leo ni wakimbizi na wanaishi kwenye camp. Izrael inajua hilo na ndiyo maana wako busy kuongeza eneo ili kuziba nafasi hawa wasirudi. Kwako hili ni POA KABISA. Dawa ni moja tu nilishasema zamani. Kuwatafutia eneo huko jangwani, kuwaundia nchi popote pale duniani hata kama itakuwa ni ndani ya Sudan/Chad. Hawa jamaa wachukuliwe nusu huku na nusu kule, wapelekwe na kwenda kuishi huko. Vinginevyo dawa ni moja tu kuwa siku moja UYOGA wa JOTO uote hapo kama huko HIROSHIMA na watu kama milioni 10 wafe na watakaobaki watakuwa na eneo kubwa sana la kuishi, huku wengine wakizaliwa bila mikono, miguu, nk. Wewe wazo lako ni lipi au washabikia tu watu kuuliwa. Ngoja siku na wewe yakikufika, kwenu mvamiwe na FISADI kama Lowasa, liwafukuze bila hata kuwalipa fidia.[/QUOTE]
Waliorudi kutoka huko walikokimbilia, una uhakika kuwa ni Waizrael? Walifanya kipimo gani kuwajua kuwa ni Wayahudi?

Sasa kama si Waisraeli unaweza kuprove namna gani kuwa si Waisaraeli nao Wanasema wao ni Waisraeli? Kama si Waisarael Hamasi wanawapiga watu gani?

Kuna jamaa yangu mmoja alikwenda USA, na kufika AIRPORT wakamchukua na kumpeleka kwa Rabin. Jamaa akapewa pesa ya mradi na akawa na pesa nyingi sana. Kisa hasa ni kuwa ANAONEKANA KAMA MYAHUDI.

Ndivyo Wayahudi walivyo, na ni sheria kwao ikiwa mgeni yeyote atataka kujia-associate nao hawatamkataa, hata wewe ukienda huko na kujitangaza kuwa U-Myahudi watakupokea kwa kufyuata taratibu zao.

Suluhu ni kwa Wapalestin kukubali kuishi na Wayahudi kwa mipaka hiyo hiyo maana ardhi haiwatoshi kama ulivyosema. PLO wamshakubaliana na Israeli kuheshimiana kwa mipaka ya sasa tatizo ni baadhi ya Wapalestina na Wayahudi kutokubali kukubali mipaka ya sasa. Msimamo wa Hamas na Iran ni kutoitambua Israel na kuhakikisha kuwa WaIsrael wanamalizwa, sasa weweungekuwa MuIsrael ungekubali?

Dawa ni moja tu nilishasema zamani. Kuwatafutia eneo huko jangwani, kuwaundia nchi popote pale duniani hata kama itakuwa ni ndani ya Sudan/Chad. Hawa jamaa wachukuliwe nusu huku na nusu kule, wapelekwe na kwenda kuishi huko. Vinginevyo dawa ni moja tu kuwa siku moja UYOGA wa JOTO uote hapo kama huko HIROSHIMA na watu kama milioni 10 wafe na watakaobaki watakuwa na eneo kubwa sana la kuishi, huku wengine wakizaliwa bila mikono, miguu, nk. Wewe wazo lako ni lipi au washabikia tu watu kuuliwa. Ngoja siku na wewe yakikufika, kwenu mvamiwe na FISADI kama Lowasa, liwafukuze bila hata kuwalipa fidia.[/

Guess, nani atakuwa wa Kwanza kutumia zana hizo dhidi ya mwenzake kama si Wapelestina au Waarabu? Maana Israel inasemekana kuwa anazo. Na itatokea kama Hiroshima nani atabaki katika nchi ile (si Mpalestina wala Mwizraeli atabaki).

Nakuhakikishia Waisrael wengi ni waungwana sana, fikiria kama Wapalestina au Iran wangekuwa na nguvu kuliko Israel, Israel ingekuwepo leo? isingekuwepo lakini bado pamoja na maguvu yao Israel wanawavumilia Wapelstina!
 
wanajeshi wa hamas wakiwa wamekufa. hii inatisha.

13zbdea.jpg

8xor40.jpg

21d3m76.jpg

eufzp2.jpg

cqd5x.jpg

a1miix.jpg

16galut.jpg

2yw7clk.jpg
 
Last edited:
Unatisha mzee!! Naona umelink picha straight kwenye Desktop!!!!
 
mzee hapa nilikuwa nashindwa namna ya kufanya, kuna picha nyingi sana, nilijaribu kwa moja kwa moja kwenye web nikashindwa, sijaelewa humu mnafanyaje kuziweka zionekane moja kwa moja. muuliza njia si mjinga, naomba nielekeze tafadhali. thanks.
 
hamas wameshinda vita. hahaha. sasa tusemeje jamani. wameandamana kutaarifu dunia kuwa wao wameshinda vita.israel wamenyamaza kimyaaa,wao huwa wanaongea kwa vitendo tu. baada ya ceasefire wameshaua muisrael mmoja. kwenye vita, zaidi ya polisi wa hamas 700 walikufa, wengine ndo walikuwa supports wao pamoja na watoto(ambao sio supporters). sasa, hivi huu ni ukakamavu? au ni ubishi? hahaaha, sijawahi kuona watu wabishi kama hawa duniani. wanatisha kwakweli.
 
oh my God, what is this? bodies of the enermy? si walisema wameshinda? mama yangu. jamaa kweli nakubali wabishi. hawaogopi kufa, lakini wakipigwa wanaenda hospitali kwasababu wanaona panauma pamoja na kwamba hawaogopi kufa. Osama yuko wapi awaokoe? mbona ameshindwa kuingia Tel Avivi?hahaha, hawezi hata siku moja. wataenda kumkata nanilii akijaribu kuingia kule. safi sana israel, fundisho kwa maadui zako wote. Mungu ibariki israel.
 
Hivi unapoandika haya unakuwa umefikiria au ndiyo ushabiki tu wa mradi nami nitoe mawazo yangu?. Naheshimu mawazo yako sana ila sikubaliani nayo kwani yapo biased.

Mtu akiingia nyumbani kwako bila ridhaa yako na akaangukiwa na ukuta utakuwa umemuua au kajiua, na je ikitokea mmatumbi kaua mtu unaenda piga wamatumbi wote?, mtafute huyo aliyefanya hivyo mkamate na siyo kuwa kama umerukwa na akili na kuua watu wasiokuwa na hatia.

Hamas ni wachokozi tu na wanafuta huruma ya dunia kwa kupiga kelele huku wao wakiwa wameshambulia kwanza. Sasa na nyinyi nmanapiga kelele hapa za nini? wacha wapate kichapo na washike adabu.
Dawa ya mchokozi ni kichapo na kama wanadhani Israeli imewaonea basi na wao wachape na atakayeshindwa akae kimya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom