Hamas wafanya balaa

Status
Not open for further replies.
Wee sifia tu unyama wa Muizrael. Na wewe siku MAJAMBAZI ya Kizaramo yakija kukuvamia kwako hapo Dar kwa gia umevamia Dar yao, ndipo utachekea chooni. Watu walioko USA utawajua tu. Mmelishwa Propaganda za huko hadi mmeshiba. Kweli Bush kafanya kazi nzuri sana hii miaka 8. Ni kwa watu kama Obama ndiyo pekee hawakula hayo matapishi. Na kuonyesha hivyo, kaanza mahujiano kwa TV ya Kiarabu.
Nakiri kuwa hata mie zamani nilikuwa MPENZI sana wa Waizrael. Nilipoona unyama wa PLO, nikaona kweli Wayahudi ni watu wa kuhurumiwa. Hii niliiacha nilipokuja kumwaga maoni yangu mbele ya member wa humu ndani MTANZANIA. Sijui hata kama anakumbuka. Aliniweka shule kama bwana mdogo wake na nikaelewa somo. Nachokumbuka tu ni kuwa alisema "hata Waarabu nao ni watu, na wao ndiyo wamezulumiwa sana sana".
Kwa hili kweli utaona tofauti kubwa sana kati ya USA na EUROPE.

Ibra wrote (Nakuhakikishia Waisrael wengi ni waungwana sana, fikiria kama Wapalestina au Iran wangekuwa na nguvu kuliko Israel, Israel ingekuwepo leo? isingekuwepo lakini bado pamoja na maguvu yao Israel wanawavumilia Wapelstina!)

Ibra, kabla hawa Waizrael hawajaanza kuja kutoka East and Centre Europe, kuna wengine walikuwa wakiishi huko na Wapalestine. Sijawahi kusikia kama walikuwa wananyanyaswa. Anyway, mengine naona hata wewe unakubalina. Ukipitia huko kwenye artical nyingine, jamaa walijadili sana.

Mlioko USA, jaribuni kusoma NEWS nyingine na kusikiliza news nyingine zaidi ya hilo zinazotawaliwa na Wayahudi huko USA. Ndiyo maana wakati wa vita na Waarabu, waliishambulia AL JAAZIR. Wakati dunia nzima ilikuwa inaMPINGA BUSH, ni nchi chache sana na USA yenyewe ndiyo ilikuwa mbele kumpa suport. Mkamchagua mara ya pili na sasa COWOBOY kamaliza kazi na kuwaacha/kutuacha HOI dunia nzima. Kweli imesemwa MWANAUME WA SHOKA UTAMUELEWA AKIMALIZA.........
 
Ibraha [Dk Mwakyembe, mbunge?],
maandishi yako yamenifanya nikuone wewe kuwa AN EXTREME CHRISTIAN ambae anachukia waPalestina, labda waIslamu kwa sababu dunia inawaita EXTREME MUSLIMS. Labda sijaielewa chuki yako, lakini nimesoma maandishi yako yanayotangaza uamuzi wako wa kuwafukuza waPalestina majumbani mwao na kuwatupa popote jangwani... unawachukia waPalestina. Ningependa ufafanue kwa nini unawachukia?

Pia hayo maandishi/mijadala yako imenifanya niwaze yafuatayo... kama weye ni mbunge, una uwezo wa kujadili matatizo ya Zanzibar bila upendelevu?

back to topic:
Mimi nimezaliwa mKristo na nimezaliwa mTanzania. Mimi si mchungaji, ila uKristo unaniambia kuwa hata Yahsua (Yesu) angeshudia hivi "vita" vyao leo, nahisi angesema ukatili wa waYahudi umezidi 'notion ya self-defence'. Yaani kweli mwanakijiji akikuvamia akitumia fimbo, jibu ni kulipua kijiji chake na kuua bibi, mke, watoto, na wanakijiji wengineo ???

Nikiwa mTanzania, naelewa kuwa msingi wa amani yetu, umekuwa umoja wetu bila kujali makabila ama dini zetu. Pia nakumbuka vile nchi yetu iliamua kuwa 'non-aligned nation'. Inamaanisha kwangu kuwa sisi tuna uhuru wa kutambua ukatili hata kama watendaji ni marafiki zetu. Inamaanisha kwangu kuwa sisi tusifuatie siasa za waUlaya pekee... Nikiwa mTanzania, nahitaji kuitambua serikali yoyote iliochaguliwa na wananchi. Hamas ilishinda uchaguzi ambao wachunguzi waKimataifa walishuhudia...

Ubungoubungo ameonyesha picha za wanajeshi wa Hamas. Hajaonyesha picha za watoto na mama ama bibi zao waliouawa wakiwa ndani ya sehemu ambazo vitani haziitaji kulipuliwa. waUlaya leo wanamkamata Lubanga na kumshtaki kwa ugaidi vitani, na pia wa Rwanda bado wapo mahakamani. Najiuliza, ivi waYahudi watahukumiwa kulipua mashule, majumba ya Red Cross/Crescent, majumba ya UN ambayo wasio vitani walikimbilia wakidhani hawatauawa pale, kutoruhusu wananchi waliojeruhiwa kupelekwa sipitalini bila kutupiwa marisasi, kufunga mpaka kwa wananchi waliotaka kukimbilia Misri kutibiwa ama kuepuka vita, kutoruhusu kuzika waliokufa - yaani malalamiko ya mataifa mengi ndo yaliwafanya waYahudi waruhusu masaa matatu ya kuzika na kupeleka sipitalini waliojeruhiwa - kwa mantiki, masaa matatu hayangetosha... nk ??? Sitasahu stori ya BBC kuhusiana na bibi ambae aliamrishwa na wanajeshi waYahudi kutoka nje ya nyumba... bibi na watoto wajukuu watatu walitoka nje, bibi akinyanyua bendera nyeupe... wanajeshi wakicheka na kutafuna chokolati, waliamua kuwalisha risasi... watoto wawili waliuawa, bibi alijeruhiwa, na mjukuu alijeruhiwa na sasa hatakuwa na uwezo wa kutembea maishani mwake... katoto ka miaka labda mitano. Hii ni stori moja tu kati ya stori nyingi... Jamani nani atatetea huu ukatili kwa binadamu mwenzako? Nani anadhani ukatili huu hauzai hasira nyingi ambazo zinazaa ma-terrorists??? huu ndo ukatili ambao utatuletea 'armageddon'...

Ivi, bwana Ibraha, ukikatazwa kutoka nje ya nyumba yako ama kijiji chako, weye utakua na uhuru? utakasirishwa? Umetaja 'makaburu', ivi mimi ntakosea nikitamka 'maisha ya waPalestina si tofauti sana na maisha ya ndugu wa Afrika kusini walipotawaliwa na makaburu'??? ... si wanakatazwa kwenda hapa ama kule, si makuta yamejengwa na wengine wamekatazwa kwenda mashambani mwao nyuma ya ukuta, mashamba yaliyokuwa yao kwa mda mrefu, si mipaka inafungwa na waYahudi wakijua wanazuia vyakula kuja pia ama biashara, ...

KIHISTORIA... Wengi wanataka dunia iamini kuwa waYahudi walirudishwa ndani ya nchi tupu... hapana, waPalestina na waArabu walikuwa wanaishi pale kwa karne nyingi baada ya waYahudi kutimuliwa... zamani, waliishi pamoja. Sasa weye, leo hii jamaa akirudi tokea Ulaya na akakwambia nyumba yako imejengwa ndani ya uwanja wa babu wake wa zamani, utampa nyumba na shamba? Akikwambia hili shamba liligawiwa kwake na Mungu (wake), utatabasamu na kuhama bila chuki ama ubishi?

KIBIBLIA... Mungu alitoa ahadi kuwa atawarudisha watoto ya Jacob nchini kule, mimi ndo navoielewa hii ahadi. Sidhani alimaanisha ntawafanya waBBC wakurudisheni. WaBBC na marafiki zao wanajifanya wanaijua Biblia vizuri kwa hiyo waliamua kutenda vile wakidhani wanatimiza ahadi za Mungu... ni hawa waBBC pia waliotumia Biblia kutudanganya na kututawala... Hawa waYahudi wanaoishi kule sasa ivi, si watoto wa Jacob... Mungu aliahidi kuwapa nchi watoto wa Jacob, si waYahudi wote.

KIELIMU NA KIMANTIKI... kumbukeni stori ya mnara wa Babel, afu angalia dunia yetu leo... jiulize nani leo anaongea lugha nyingi tofauti? nani alipewa ile laana? Nahisi, miongoni mwetu sisi weusi, kuna yale makabila 12 yaliyopotea, watoto wa Jacob. Ni Mungu pekee atakae warudisha nchini mwao ama mwetu. Ukweli utakaotokea utatujulisha vile tunavoishi ndani ya karne nyingi za uongo humu duniani. Wengi tunajua Mungu ana 'chosen nation', wengi hatujui shetani nae ana 'chosen nation' ambayo itamkaribisha 'anti-christ'. Hii chosen nation ya shetani, ni ya waYahudi ambao si watoto wa Jacob. Tafiti waYahudi wanaoitwa, ki-historia, Edomites. Utashangazwa...

~Amani PamoJah~
 
Hamas wamewashambulia Israel dunia iko kimya, Israel ikijisu na kuwashushia kichapo dunia inapiga mayowe. Maana yake nini? Nadhani ni vema dunia ikae kimya tu na kuwaachia Waisrael na Wapeletina wazipige atakezidiwa aombe suluhu, basi!

Waliorudi kutoka huko walikokimbilia, una uhakika kuwa ni Waizrael? Walifanya kipimo gani kuwajua kuwa ni Wayahudi? Kuna jamaa yangu mmoja alikwenda USA, na kufika AIRPORT wakamchukua na kumpeleka kwa Rabin. Jamaa akapewa pesa ya mradi na akawa na pesa nyingi sana. Kisa hasa ni kuwa ANAONEKANA KAMA MYAHUDI. Ila jamaa hana uyahudi wowote, ila kafanana tu. Sasa ndiyo hawa waliorudi huko.
Mwisho nakupa HONGERA kwa kuandika vizuri. UNANIKUMBUSHA MAKABURU yalimwita MANDELA NI GAIDI. Yes, gaidi linalokwenda kuvamia na kuharibu mali za Wazungu na kuuwa wazungu kwenye nyumba, miji na mashamba yao huko kwao SOUTH AFRICA.
Hakuna anayesema Wayahudi wasikae pale. Ila wewe unaona kuwa WAPALESTINA hawatakiwi kukaa pale. Kuna makala hapa ilikuwepo juu ya huu ugomvi. HEbu itafute na uisome maana mengi yaliandikwa humo.
Nilishaongea na Mzee mmoja Myahudi. Akasema wazi kabisa kuwa hiyo ardhi haitoshi hata kwa Wayahudi wenyewe. Sasa itakuwa Wakimbizi wa Palestine zaidi ya milioni 5 waishio nje? Hawa hadi leo ni wakimbizi na wanaishi kwenye camp. Izrael inajua hilo na ndiyo maana wako busy kuongeza eneo ili kuziba nafasi hawa wasirudi. Kwako hili ni POA KABISA. Dawa ni moja tu nilishasema zamani. Kuwatafutia eneo huko jangwani, kuwaundia nchi popote pale duniani hata kama itakuwa ni ndani ya Sudan/Chad. Hawa jamaa wachukuliwe nusu huku na nusu kule, wapelekwe na kwenda kuishi huko. Vinginevyo dawa ni moja tu kuwa siku moja UYOGA wa JOTO uote hapo kama huko HIROSHIMA na watu kama milioni 10 wafe na watakaobaki watakuwa na eneo kubwa sana la kuishi, huku wengine wakizaliwa bila mikono, miguu, nk. Wewe wazo lako ni lipi au washabikia tu watu kuuliwa. Ngoja siku na wewe yakikufika, kwenu mvamiwe na FISADI kama Lowasa, liwafukuze bila hata kuwalipa fidia.[/QUOTE]
Waliorudi kutoka huko walikokimbilia, una uhakika kuwa ni Waizrael? Walifanya kipimo gani kuwajua kuwa ni Wayahudi?

Sasa kama si Waisraeli unaweza kuprove namna gani kuwa si Waisaraeli nao Wanasema wao ni Waisraeli? Kama si Waisarael Hamasi wanawapiga watu gani?

Kuna jamaa yangu mmoja alikwenda USA, na kufika AIRPORT wakamchukua na kumpeleka kwa Rabin. Jamaa akapewa pesa ya mradi na akawa na pesa nyingi sana. Kisa hasa ni kuwa ANAONEKANA KAMA MYAHUDI.

Ndivyo Wayahudi walivyo, na ni sheria kwao ikiwa mgeni yeyote atataka kujia-associate nao hawatamkataa, hata wewe ukienda huko na kujitangaza kuwa U-Myahudi watakupokea kwa kufyuata taratibu zao.

Suluhu ni kwa Wapalestin kukubali kuishi na Wayahudi kwa mipaka hiyo hiyo maana ardhi haiwatoshi kama ulivyosema. PLO wamshakubaliana na Israeli kuheshimiana kwa mipaka ya sasa tatizo ni baadhi ya Wapalestina na Wayahudi kutokubali kukubali mipaka ya sasa. Msimamo wa Hamas na Iran ni kutoitambua Israel na kuhakikisha kuwa WaIsrael wanamalizwa, sasa weweungekuwa MuIsrael ungekubali?

Dawa ni moja tu nilishasema zamani. Kuwatafutia eneo huko jangwani, kuwaundia nchi popote pale duniani hata kama itakuwa ni ndani ya Sudan/Chad. Hawa jamaa wachukuliwe nusu huku na nusu kule, wapelekwe na kwenda kuishi huko. Vinginevyo dawa ni moja tu kuwa siku moja UYOGA wa JOTO uote hapo kama huko HIROSHIMA na watu kama milioni 10 wafe na watakaobaki watakuwa na eneo kubwa sana la kuishi, huku wengine wakizaliwa bila mikono, miguu, nk. Wewe wazo lako ni lipi au washabikia tu watu kuuliwa. Ngoja siku na wewe yakikufika, kwenu mvamiwe na FISADI kama Lowasa, liwafukuze bila hata kuwalipa fidia.[/

Guess, nani atakuwa wa Kwanza kutumia zana hizo dhidi ya mwenzake kama si Wapelestina au Waarabu? Maana Israel inasemekana kuwa anazo. Na itatokea kama Hiroshima nani atabaki katika nchi ile (si Mpalestina wala Mwizraeli atabaki).

Nakuhakikishia Waisrael wengi ni waungwana sana, fikiria kama Wapalestina au Iran wangekuwa na nguvu kuliko Israel, Israel ingekuwepo leo? isingekuwepo lakini bado pamoja na maguvu yao Israel wanawavumilia Wapelstina!

Sasa unapovamiwa nyumbani mwako na vibaka na kuvunjiwa mlango tu ukajibu in retaliation na majibu yakawa na madhira makubwa kwa adui ni haki kulaumiwa ati umewapiga sana? Nadhani kichapo lazima kiwe kikubwa ili wakitaka kurudi wajiulize mara mbili mbili na kama hawawezi kustahimili wasije tena.

Hivi unajua vizuri mgogoro wa Israel na Palestina? Waisraeli walirudi pale 1948 kutoka utawanyikoni walikokimbilia baada ya kupigwa na adui zao na wakakuta Wapalestina wametamalaki. Je, ulitaka waende wapi?

Ibrah asante sana kwamaneno yenye hekima na upeo wa hali ya juu. Mtoto kalilia wembe, Israel ikawapa box zima.

Magaidi wa Hamas wanastaili kipigo hicho kitakatifu. Ukiishi kwamtu lazima uwe na adabu, kama huna basi kibano kinafuata.
 
Max,
Siku moja mwanao mmoja atafika UGERUMAN na huko ashushiwe KIPIGO na SKINHEADS. Hapo ndipo utajua maana ya UNYAMA. Anyway, Mzigo wa mwenzio ni UKANDA wa usufi. Kwa maana hiyo, kuanzia leo na mimi naungana na MAKABURU kwa kumwita MANDELA kuwa GAIDI. Gaidi hili likitumia wanajeshi wake na slogan ya UMKHONTO WESIZWE, walikuwa wakivamia Wazungu na kuwauwa kwenye nchi yao ya SOUTH AFRICA. Kumbe Kinjikitile, Isike, Mangi, Mkwawa nk wote hawa walipata kipigo SAIZI YAO. Nawapongza Wageruman kwa kutoa kipigo hicho kitakatifu.
Naungana pia na Souljah Boy ambaye anashukuru Wazungu kwa kuwabeba na kuwauza kama Watumwa babu zao huko USA maana walau leo hii hawako Africa. Mwisho hongera Max kwa kumsifia Ibrah, na Ibrah kwa uchambuzi uliokomaa na wa hali ya juu. Aisifiaye Mvua..........
 
Naona bado hujajuwa maana ya neno HAMAS. Kipigo wanachokipata hawa Hamas ni baraka na haki yao.

Sioni sababu kwanini hawa majangili Hamas wasiadhibiwe, kwanini wasifundishwe adabu, kwanini wasionyeshwe kivitendo ubaya wa ugaidi, kwanini wasifundishwe kuwa dini na siasa ni tofauti, kwanini wasifundishwe kuwa ukiwa kwa mtu lazima uwe na adabu.

Hamas the radical, political, and religious group.

Hamas is a religious/political/terrorist organization. You don't need applied mathematics to understand that.

Short history of HAMAS
HIVI UNAJUWA MAANA YA HAMAS? HAMAS is Islamic Resistance Movement.

Hamas was created in 1987 by Sheikh Ahmed Yassin, Abdel Aziz al-Rantissi and Mohammad Taha of the Palestinian wing of the Muslim Brotherhood at the beginning of the First Intifada. Notorious for its numerous suicide bombings and other attacks on Israeli civilians and security forces.

Hamas' charter calls for the destruction of the State of Israel and its replacement with a Palestinian Islamic state in the area that is now Israel, the West Bank, and the Gaza Strip.

What does Hamas believe and what are its goals?
Hamas combines Palestinian nationalism with Islamic fundamentalism. Its founding charter commits the group to the destruction of Israel, the replacement of the PA with an Islamist state on the West Bank and Gaza, and to raising "the banner of Allah over every inch of Palestine." Its leaders have called suicide attacks the "F-16" of the Palestinian people. Hamas believes "peace talks will do no good," Rantisi said in April 2004. "We do not believe we can live with the enemy."

Wakipingwa, wanasema Waisrael wabaya, lakini kilichowajaa moyoni mwao ni kuua Waisrael wote na ndugu zao Wakristo. Je, hiindio dini ya amani kutoka kwa marehemu mtume mwamadi ambaye ndie allah wenu? au ndio umuhammadan?

Hawa ndio majaa unaowapigia debe na kuwasifia. Ni nini unapenda kutoka hawa magaidi? au ni udini unakusumbua na kukufanya uwe kipofu? au ndio uislam wenyewe? I don't see any good from Hamas zaidi ya ujangili.

Max,
Naogopa NAPIGA GITAA!!!!

"To every action there is an equal and opposite reaction." Newton's third law of motion.

Anyway, time will tell, who started the ACTION.
 
Kuna upindishaji wa historia wa makusudi hapa....
naomba niulize What are the Twelve Tribes of Israel?
 
Icadon,
Hivyo viatu haviishi tu? Nafikiri swali lako lilijibiwa kwenye ile makala ya mwanzo ya picha ulizoweka za watu waliouwawa Palestine. Ukiipitia nafikiri kuna mtu alilijadili hili.
 
Icadon,
Hivyo viatu haviishi tu? Nafikiri swali lako lilijibiwa kwenye ile makala ya mwanzo ya picha ulizoweka za watu waliouwawa Palestine. Ukiipitia nafikiri kuna mtu alilijadili hili.

So why not taking the liberty of answering it?
 
the only thing Hamas the ****** wanachotaka dunia hii ni kuwasafisha Israel,Israel wana haki ya kujilinda na kuwashikisha adabu Hamas,Israel yupo tayari kuongea lakini Hamas hataki kusikia chochote kutoka Israel zaidi ya rockets,mnaotetea Hamas mlitaka Israel walale wakisubiri kulipuliwa na Hamas...wapuuzi sana nyie!
 
Natty_Bongoman

Re: Hamas wafanya balaa
Ibraha [Dk Mwakyembe, mbunge?],
maandishi yako yamenifanya nikuone wewe kuwa AN EXTREME CHRISTIAN ambae anachukia waPalestina, labda waIslamu kwa sababu dunia inawaita EXTREME MUSLIMS. Labda sijaielewa chuki yako, lakini nimesoma maandishi yako yanayotangaza uamuzi wako wa kuwafukuza waPalestina majumbani mwao na kuwatupa popote jangwani... unawachukia waPalestina. Ningependa ufafanue kwa nini unawachukia?

Pia hayo maandishi/mijadala yako imenifanya niwaze yafuatayo... kama weye ni mbunge, una uwezo wa kujadili matatizo ya Zanzibar bila upendelevu?

back to topic:
Mimi nimezaliwa mKristo na nimezaliwa mTanzania. Mimi si mchungaji, ila uKristo unaniambia kuwa hata Yahsua (Yesu) angeshudia hivi "vita" vyao leo, nahisi angesema ukatili wa waYahudi umezidi 'notion ya self-defence'. Yaani kweli mwanakijiji akikuvamia akitumia fimbo, jibu ni kulipua kijiji chake na kuua bibi, mke, watoto, na wanakijiji wengineo ???

Nikiwa mTanzania, naelewa kuwa msingi wa amani yetu, umekuwa umoja wetu bila kujali makabila ama dini zetu. Pia nakumbuka vile nchi yetu iliamua kuwa 'non-aligned nation'. Inamaanisha kwangu kuwa sisi tuna uhuru wa kutambua ukatili hata kama watendaji ni marafiki zetu. Inamaanisha kwangu kuwa sisi tusifuatie siasa za waUlaya pekee... Nikiwa mTanzania, nahitaji kuitambua serikali yoyote iliochaguliwa na wananchi. Hamas ilishinda uchaguzi ambao wachunguzi waKimataifa walishuhudia...

Ubungoubungo ameonyesha picha za wanajeshi wa Hamas. Hajaonyesha picha za watoto na mama ama bibi zao waliouawa wakiwa ndani ya sehemu ambazo vitani haziitaji kulipuliwa. waUlaya leo wanamkamata Lubanga na kumshtaki kwa ugaidi vitani, na pia wa Rwanda bado wapo mahakamani. Najiuliza, ivi waYahudi watahukumiwa kulipua mashule, majumba ya Red Cross/Crescent, majumba ya UN ambayo wasio vitani walikimbilia wakidhani hawatauawa pale, kutoruhusu wananchi waliojeruhiwa kupelekwa sipitalini bila kutupiwa marisasi, kufunga mpaka kwa wananchi waliotaka kukimbilia Misri kutibiwa ama kuepuka vita, kutoruhusu kuzika waliokufa - yaani malalamiko ya mataifa mengi ndo yaliwafanya waYahudi waruhusu masaa matatu ya kuzika na kupeleka sipitalini waliojeruhiwa - kwa mantiki, masaa matatu hayangetosha... nk ??? Sitasahu stori ya BBC kuhusiana na bibi ambae aliamrishwa na wanajeshi waYahudi kutoka nje ya nyumba... bibi na watoto wajukuu watatu walitoka nje, bibi akinyanyua bendera nyeupe... wanajeshi wakicheka na kutafuna chokolati, waliamua kuwalisha risasi... watoto wawili waliuawa, bibi alijeruhiwa, na mjukuu alijeruhiwa na sasa hatakuwa na uwezo wa kutembea maishani mwake... katoto ka miaka labda mitano. Hii ni stori moja tu kati ya stori nyingi... Jamani nani atatetea huu ukatili kwa binadamu mwenzako? Nani anadhani ukatili huu hauzai hasira nyingi ambazo zinazaa ma-terrorists??? huu ndo ukatili ambao utatuletea 'armageddon'...

Ivi, bwana Ibraha, ukikatazwa kutoka nje ya nyumba yako ama kijiji chako, weye utakua na uhuru? utakasirishwa? Umetaja 'makaburu', ivi mimi ntakosea nikitamka 'maisha ya waPalestina si tofauti sana na maisha ya ndugu wa Afrika kusini walipotawaliwa na makaburu'??? ... si wanakatazwa kwenda hapa ama kule, si makuta yamejengwa na wengine wamekatazwa kwenda mashambani mwao nyuma ya ukuta, mashamba yaliyokuwa yao kwa mda mrefu, si mipaka inafungwa na waYahudi wakijua wanazuia vyakula kuja pia ama biashara, ...

KIHISTORIA... Wengi wanataka dunia iamini kuwa waYahudi walirudishwa ndani ya nchi tupu... hapana, waPalestina na waArabu walikuwa wanaishi pale kwa karne nyingi baada ya waYahudi kutimuliwa... zamani, waliishi pamoja. Sasa weye, leo hii jamaa akirudi tokea Ulaya na akakwambia nyumba yako imejengwa ndani ya uwanja wa babu wake wa zamani, utampa nyumba na shamba? Akikwambia hili shamba liligawiwa kwake na Mungu (wake), utatabasamu na kuhama bila chuki ama ubishi?

KIBIBLIA... Mungu alitoa ahadi kuwa atawarudisha watoto ya Jacob nchini kule, mimi ndo navoielewa hii ahadi. Sidhani alimaanisha ntawafanya waBBC wakurudisheni. WaBBC na marafiki zao wanajifanya wanaijua Biblia vizuri kwa hiyo waliamua kutenda vile wakidhani wanatimiza ahadi za Mungu... ni hawa waBBC pia waliotumia Biblia kutudanganya na kututawala... Hawa waYahudi wanaoishi kule sasa ivi, si watoto wa Jacob... Mungu aliahidi kuwapa nchi watoto wa Jacob, si waYahudi wote.

KIELIMU NA KIMANTIKI... kumbukeni stori ya mnara wa Babel, afu angalia dunia yetu leo... jiulize nani leo anaongea lugha nyingi tofauti? nani alipewa ile laana? Nahisi, miongoni mwetu sisi weusi, kuna yale makabila 12 yaliyopotea, watoto wa Jacob. Ni Mungu pekee atakae warudisha nchini mwao ama mwetu. Ukweli utakaotokea utatujulisha vile tunavoishi ndani ya karne nyingi za uongo humu duniani. Wengi tunajua Mungu ana 'chosen nation', wengi hatujui shetani nae ana 'chosen nation' ambayo itamkaribisha 'anti-christ'. Hii chosen nation ya shetani, ni ya waYahudi ambao si watoto wa Jacob. Tafiti waYahudi wanaoitwa, ki-historia, Edomites. Utashangazwa...

Natty, kwanza mimi si Dk Mwakyembe, nadhani unamkosea Mh Mbunge. Mimi nimetumia maneno yake kwa kuupenda tu ujumbe wa maneno yale.

Nilizungumza haya na ninarudia tena. Israeli haina ugomvi na Wapalestina wa PLO ila Hamas maana misimamo ya Hamas na PLO ni tofauti sana na ndo maana kuna amanai kati ya PLO na Israel. Vita hivi viisngekuwepo kama Hamas wasingechaguliwa kuongoza Gaza maana msimamo wa Hamas ni kuifuta Isarael kama ulivyo msimamo wa Iran na Hizbollah.

Natty, jiulize nani huanzishaga vita huko Mashariki ya kati kama si Hizbolla na Hamas wakiungwa mkono na Iran? Sasa Isarael ifanye nini kupigana na magaidi? Hivi hao magaidi wa Hamas na Hizbollah wanapoishambuliaga Israel huwa wanalenga makambi ya Jeshi la Israel? Jibu ni hapana, kitu muhimu kwao ni kumpiga Muisrael awe mama au mtoto.

Kwa taarifa yako ni kuwa magaidi hao huwatumia watu na nyumba za watu kama ngao ili Israel inapojibu ionekana kukiuka sheria za kimataifa kwa kuwa tu Hizbollah na Hamas wao hawabanwi na sheria za kimataifa!

Kwa nyongeza tu ni kuwa hao Wairan wanaowaunga mkono Hizbolla na Hamas kwa fedha na silaha mbona wanaogopa kuipiga Israel bali kuwatumia magaidi? Iran wangekuwa na ubavu wangeshaipiga Israel kitambo (rejea kauli za Ahmednajad kuwa Israel ifutwe= Msimamo wa Hizbollah na Hamas). Iran wanajua fika kuwa wakijaribu tu kuipiga Israel hata kwa kombora la Scud hali itakuwa ngumukwao iwapo Israel itaamua kujibu na ndo maana wanatumia mgongo wa Hamas na Hizbollah maana Iran wakianza uwanja utakuwa sawasawa kwa wote.

Mwisho soma maneno ya Koba hapo chini.

the only thing Hamas the ****** wanachotaka dunia hii ni kuwasafisha Israel,Israel wana haki ya kujilinda na kuwashikisha adabu Hamas,Israel yupo tayari kuongea lakini Hamas hataki kusikia chochote kutoka Israel zaidi ya rockets,mnaotetea Hamas mlitaka Israel walale wakisubiri kulipuliwa na Hamas...wapuuzi sana nyie!
 
Naona watu wamesha sahau, wapigania uhuru afrika waliitwa magaidi, wamarekani walipokuwa wanapigania uhuru waliitwa magaidi, wayahudi walipokuwa wanateswa na kuuwawa enzi zake pia walitafutiwa visababu.

Hii leo wayahudi wamesahau uchungu wa kukandamizwa. Wamesahau walikotoka. Ndo maana hawaoni aibu ya kubulldoz mashamba ya mpalestina, hawaoni unafik wapo sema ni kosa mwaabu kutaka kuunda taifa la kidini hali wao lao wanaliita jewish state.

Wakati palestine ilikuwa palestine, walikuwemo wayahudi na wapalestina, wayahudi wakiwa kundi dogo. waliishi pamoja, hawa wa kutoka nje the so called ZIONIST ndo walileta pendekezo la kugawa ardhi pawepo JEWISH STATE.

Sielewi kwa nini watu wanawashangaa wanapotumia suicide bombers, jamani ukinijia na panga alafu iwe sina yangu kama ni jiwe tu lipo karibu ndo nta kutupia.

Wayahudi wage hamia palestine, bila kujaribu kugawa taifa, wakaishi kwa sheria zilizokuwepo pale hii shida yote haingekuwepo
 
nashangaa hata tanzania inapeleka wanajenshi Iran waende kujifunza kule, sehemu ambayo inaproduce wanajeshi mfu hivyo. sasa, wao hamas waliopikwa wakapikika kule iran, mbona wameonyesha ubovu wa hali ya juu sana. kwasababu unapoamua kupigana vita, unakuwa na mipango mingi, si lazima vita ya bunduki tu, na ya akili pia kuangalia kama utashinda au la. waisrael wamekufa 16, hamas zaidi ya mia saba, wananchi na watoto ambao hamas iliwachukulia kama shield/ngao wamekufa zaidi ya 1500,,,hamas wanajeshi waliopikwa iran hawakuforesee hilo? iran nayo nchi ya kundisha mtu jeshi?hahaha. ona tz ya kikwete inavyojipendekeza kwa donor wa hamas iran! aibu tupu.
 
Waliorudi kutoka huko walikokimbilia, una uhakika kuwa ni Waizrael? Walifanya kipimo gani kuwajua kuwa ni Wayahudi? Kuna jamaa yangu mmoja alikwenda USA, na kufika AIRPORT wakamchukua na kumpeleka kwa Rabin. Jamaa akapewa pesa ya mradi na akawa na pesa nyingi sana. Kisa hasa ni kuwa ANAONEKANA KAMA MYAHUDI. Ila jamaa hana uyahudi wowote, ila kafanana tu. Sasa ndiyo hawa waliorudi huko.
Mwisho nakupa HONGERA kwa kuandika vizuri. UNANIKUMBUSHA MAKABURU yalimwita MANDELA NI GAIDI. Yes, gaidi linalokwenda kuvamia na kuharibu mali za Wazungu na kuuwa wazungu kwenye nyumba, miji na mashamba yao huko kwao SOUTH AFRICA.
Hakuna anayesema Wayahudi wasikae pale. Ila wewe unaona kuwa WAPALESTINA hawatakiwi kukaa pale. Kuna makala hapa ilikuwepo juu ya huu ugomvi. HEbu itafute na uisome maana mengi yaliandikwa humo.
Nilishaongea na Mzee mmoja Myahudi. Akasema wazi kabisa kuwa hiyo ardhi haitoshi hata kwa Wayahudi wenyewe. Sasa itakuwa Wakimbizi wa Palestine zaidi ya milioni 5 waishio nje? Hawa hadi leo ni wakimbizi na wanaishi kwenye camp. Izrael inajua hilo na ndiyo maana wako busy kuongeza eneo ili kuziba nafasi hawa wasirudi. Kwako hili ni POA KABISA. Dawa ni moja tu nilishasema zamani. Kuwatafutia eneo huko jangwani, kuwaundia nchi popote pale duniani hata kama itakuwa ni ndani ya Sudan/Chad. Hawa jamaa wachukuliwe nusu huku na nusu kule, wapelekwe na kwenda kuishi huko. Vinginevyo dawa ni moja tu kuwa siku moja UYOGA wa JOTO uote hapo kama huko HIROSHIMA na watu kama milioni 10 wafe na watakaobaki watakuwa na eneo kubwa sana la kuishi, huku wengine wakizaliwa bila mikono, miguu, nk. Wewe wazo lako ni lipi au washabikia tu watu kuuliwa. Ngoja siku na wewe yakikufika, kwenu mvamiwe na FISADI kama Lowasa, liwafukuze bila hata kuwalipa fidia.

Kaka umeanza vizuri ilikuwa nikupongeze ila umemailza vibaya sana hivyo hustail pongezi hiyo unayoiita suruhu yakupiga nyuklia watu wafe sana na kisiote kitu ni mawazo ya kigaidi yasiyotakiwa ulimwenguni. Kwa namna hii akina Bushi wanahitajika kurekebisha watu wasio nauchungu wa maisha na dunia.
 
Kweli kuna watu wana vichwa vigumu hapo Middle East, on the other hand I doubt kama hii kurusha rockets this time around ni kazi ya Hamas.
Witnesses says Israeli fighter jets targeted Hamas security headquarters in village of Mughraqa hours after PM Olmert vowed 'disproportionate' response to rocket, mortar fire that injured three Israelis Reuters Published: 02.01.09, 22:46 / Israel News
Israeli aircraft bombed a Hamas security target in the central Gaza Strip on Sunday, the Islamist group said.
There were no casualties from the attack that came hours after Israeli Prime Minister Ehud Olmert vowed a "disproportionate" response to rocket and mortar fire from Gaza that injured three Israelis.

The Israeli military had no immediate comment.

Witnesses said a missile struck after dark in a cluster of caravans that served as a Hamas security headquarters in Mughraqa, a village at the center of the coastal enclave.

They said the site had been evacuated, apparently after Israel telephoned warnings to Palestinians in Gaza to leave any buildings where weapons were located.
 
nashangaa hata tanzania inapeleka wanajenshi Iran waende kujifunza kule, sehemu ambayo inaproduce wanajeshi mfu hivyo. sasa, wao hamas waliopikwa wakapikika kule iran, mbona wameonyesha ubovu wa hali ya juu sana. kwasababu unapoamua kupigana vita, unakuwa na mipango mingi, si lazima vita ya bunduki tu, na ya akili pia kuangalia kama utashinda au la. waisrael wamekufa 16, hamas zaidi ya mia saba, wananchi na watoto ambao hamas iliwachukulia kama shield/ngao wamekufa zaidi ya 1500,,,hamas wanajeshi waliopikwa iran hawakuforesee hilo? iran nayo nchi ya kundisha mtu jeshi?hahaha. ona tz ya kikwete inavyojipendekeza kwa donor wa hamas iran! aibu tupu.
Ubungoubongo mawazo yako ni mazuri ispokuwa ungejaribu kwaza kuelewa kiini cha vita vya Israel na Wapalesina ndipo utoe mawazo yako maana hao jamaa vita wanavyopigana na vya kuikomboa nchi yao ambayo Waisrael wameivamia kiasi ambacho wameingia hadi ndani ya inchi yao na kuwawekea road block ndani ya ichi yao.
 
Icadon,
Hivyo viatu haviishi tu? Nafikiri swali lako lilijibiwa kwenye ile makala ya mwanzo ya picha ulizoweka za watu waliouwawa Palestine. Ukiipitia nafikiri kuna mtu alilijadili hili.
Wa kukaya unataka watu walipuliwe mabomu hapana huo sio ushauri mzuri wakukaya mimi naamini watu wa kwetu huwa wana huruma saana unanitia mashaka au wewe una asili ya Banyamulenge nini
 
Haya ena, Israel wameipiga tena Gaza. Lakini kama ilivyo kawaida wameipiga Gaza kujibu mashambulizi ya maroketi ya Hamas. Sasa kama Isarel ikiamua kuivamia tena Palestina, nani anapaswa kulaumiwa?

Slideshow: Israeli troops invade Gaza Play Video Video: Israeli jets bomb Gaza tunnels AFP Play Video Video: UN launches Gaza aid plea Reuters AP – A Palestinian boy leads his donkey as they pass destroyed buildings in the area of east Jebaliya, northern … GAZA CITY, Gaza Strip – Palestinian medical officials say two people have been wounded by an Israeli airstrike in the southern Gaza Strip.

Witnesses say the men were wounded while traveling in a car in Rafah, a town near the Egyptian border. Their conditions and identities weren't immediately known.

Monday's airstrike comes in response to recent rocket attacks on southern Israel. Israel often targets Rafah because it is the site of a brisk smuggling industry.

Israel recently ended a three-week offensive meant to halt rocket attacks on Israel and end weapons smuggling into Gaza.

The Israeli army had no comment on the reported airstrike.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom