Hamas wafanya balaa

Hamas wafanya balaa

Status
Not open for further replies.
oh my God, what is this? bodies of the enermy? si walisema wameshinda? mama yangu. jamaa kweli nakubali wabishi. hawaogopi kufa, lakini wakipigwa wanaenda hospitali kwasababu wanaona panauma pamoja na kwamba hawaogopi kufa. Osama yuko wapi awaokoe? mbona ameshindwa kuingia Tel Avivi?hahaha, hawezi hata siku moja. wataenda kumkata nanilii akijaribu kuingia kule. safi sana israel, fundisho kwa maadui zako wote. Mungu ibariki israel.

Kwa Mwislam anapokufa katika kutetea haki yake yeye anahesabiwa pepo,kwa macho ya kawaida hawa waliouwawa na waizarel wanaonekana wamepata hasara lakini mbele ya Allah wapo katika haki inshallah. lakini sijui kwa asiyekuwa mwislam yeye ana malipo gani
 
hapa ndo pana shida sometimes.
vitabu vya din vya wapalestina vinasema hivyohivyo? vitabu vya kiislam vinasema hivyohivyo pia?

ehe! wale mabudha wanaamin hivyohivyo pia?

wale wenzetu wenye imani tunazoita za kale tukiwaambia vitabu vyetu vya dini yetu vinasema hivi watatuamin?

Unakumbuka andiko linalosema ,ewe ezrael uuae manabii ni mara ngapi nimkuonya ....... pia jingine linasema ufalme wa mungu unaondolewa kwenu nyie waezrael na kupewa Taifa jingine lenye kuzaa matunda. haya ni maneno ya Yesu wakati bado yupo duniani, sasa ni lini hawa mayahudi walisamehewa dhambi zao za kuua manabii wengi wa Allah? je kuna kauli nyingine ya Yesu inayonyesha kwamba sasa ufalme wa mungu umerejeshwa kwao hawa waezrael?maana bado wanadai taifa teule, na sifa zingine kem kem juu yao. kwanza hawa jamaa ndio waanzilishi waufreemason na ndio huo unaowasaidia kufanikisha mambo mengi sio uteule wa mungu.
 
Stori yako ndefu, nimeisoma 1/4, ila nimesoma kichwa cha habari tu. Hao Hamas wakileta balaa, basi Mzee wa bakora NETANYAU ataleta balaa mara tatu.
 
Kwa Mwislam anapokufa katika kutetea haki yake yeye anahesabiwa pepo,kwa macho ya kawaida hawa waliouwawa na waizarel wanaonekana wamepata hasara lakini mbele ya Allah wapo katika haki inshallah. lakini sijui kwa asiyekuwa mwislam yeye ana malipo gani

Mkuu, hapa ni issue ya ndugu wawili wanapigana. kama wewe na ndugu yako, kuna waisraeli ambao ni waislamu na kuna wapalestina ambao ni kwkristu.......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom