Halotel wapunguza bundle la Chuo "TUMEKWISHA"

Halotel wapunguza bundle la Chuo "TUMEKWISHA"

Waajabu sana hawa jamaa. Walikuwa wanabembeleza wateja- wamepata wameota mapembe.
 
Kweli kabsa, pia wakumbuke kuwa hawakupendwa 7bu ya kuingea na kutuma ujumbe, basi bei na kasi yao ndo iliyoshawshi wengi.

Ndo mana unakuta mtu simu ya Halotel anatumia kwa data tu.. Lakin kuingea ni voda au tigo... Kwa hapa watu watarud walikotoka wengi
Kabisa hata mimi najiunga voda ile offer yao...

Washenzi kweli wanataka kutupiga
 
Enyi mlioelemewa na mizigo ya halotel njooni TTCL cha mwezi cha chuo ni buku 5 tu wapata GB 7 saaaaafi!
Hivi TTCL wana laini au ni vipi? Nakumbuka zamani walikuwa na simu zao pia. Hebu nielekeze inakuwaje
 
Hata mie nimeumia nilikuwa napata 1.2Gb kwa 1500 kwa wiki sasa hivi napata 800Mb
e4849674e1855b8c27b37265b5e24a2b.jpg
 
Back
Top Bottom