valet de chambre
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,241
- 1,396
Utakimbilia wepi? Airtel is even worse..
Enyi mlioelemewa na mizigo ya halotel njooni TTCL cha mwezi cha chuo ni buku 5 tu wapata GB 7 saaaaafi!
Utakimbilia wepi? Airtel is even worse..
Natumia ttcl boom pack dataHakuna msemo mwingine zaidi ya "Tumekwisha" kwa sisi tunaotumia line za chuo za halotel, kwa maana hiyo nawaaga rasmi kuwa sitakuwa nanyi leo na hata milele.
Tulizoea unajiunga cha 10,000 kwa mwezi na kupewa GB 10,
Kwa sasa wamepunguza mpaka GB 6 kwa mwezi kwa Tsh 10,000
Tumeknwisha sisi wazee wa Kwasadala au wazee wa Kitonga.
Naomba lift nakuja hukoNatumia ttcl boom pack data
7 GB - 5000 Tsh
Najiunga X2 kwa tsh 10K napata GB14 kwa siku 30
Yani halotel wanamaliza mb kama muujiza WA kakobeMm nilikuwa mnazi na mtetezi mkubwa wa Halotel but now sina namna zaidi ya kuwahama..Zaidi hasa hata Mb zinaisha haraka isivyo halali....So halotel mshabweteka..Kwaherini
Tatizo la Rudi Nyumbani ni kuwa uku mikoani hakuna TTCL, hao jamaa wapo mjini tu ndio shidaNatumia ttcl boom pack data
7 GB - 5000 Tsh
Najiunga X2 kwa tsh 10K napata GB14 kwa siku 30
Hawa jamaa ndio zero kabisa, internet kama kono konoAirtel 1,000 unapata dakika 110 na GB 1 Kwa siku tatu. Very perfect.
ategemea na sehem hawaaminiki hata kidogoNaomba kujua vodacom kukoje ili nifanye comparison bando LA mwezi na week.
Hawa jamaa kwa data za TCRA wana wateja wachache sana, ila ndio nao watawapoteza kabisaaa!Washakipata walichokuwa wanakitaka
Hii unajiungaje, ingawa nao hawaaminiki baadhi ya sehemVodacom wana 21GB kwa mwezi kwa tsh 20,000. Si lazima uwe na University Offer, hata kawaida tu unakula. Lawama hazisaidii, *Pambana na Hali yako.*
Hapo sasa mkuuu, tujipange kupambana na hali yetuSasa sijui tutakimbilia wapi now
Halotel walikuwa wapo kwenye kipindi cha majaribio ndio maana walikuwa wanatoa vifurushi vyao kwa bei ya chini kulinganisha na mitandao mingine na kwa sasa hilo limekwisha na wanalazimika kufuata nyayo za watangulizi wao...
Wazee wa miselelekooo