Halotel wapunguza bundle la Chuo "TUMEKWISHA"

Halotel wapunguza bundle la Chuo "TUMEKWISHA"

Kuna mtandao km sikosei unaitwa benson cjui nn ulitajwa ndio uko chini katika gharama zake hivi majuzi...ningeomba kupata maelezo yake maana mm nataka tupa chip trh 2
 
Hii unajiungaje, ingawa nao hawaaminiki baadhi ya sehem
Inategemea na mtu. Ni ile ofa ya YA KWAKO TU ile unayopiga *149*03# ila must uwe unaweka kuanzia Salio la 3000 ndo inakuja hii ofa. Me ninayo ingawa line nyingine ambayo naweka 500 kuna ofa ya MB 500 kwa siku 7 na 1.5 GB kwa siku 15.
 
Nilikuwa natafuta mtandao niwahame na mm hawa halotel,

Ila nafikiria kutafuta mifi kwa sababu matumizi yangu ya mtandao ni makubwa sana,

Sasa kwa anayemjua mifi ya ukweli gharam nafuu aweke hadharani
 
500tsh mb 350 wakati tulizoea mb450!
Nahamia ttcl
 
Njo ttcl 2500tsh =3GB mwezi unawaeza kujiunga Mara nyingi uwezavyo
 
Jaman narudi nyumban sasa izo laini za chuo jaman tusaidieni zinapatikana wap
 
Kuna mtandao km sikosei unaitwa benson cjui nn ulitajwa ndio uko chini katika gharama zake hivi majuzi...ningeomba kupata maelezo yake maana mm nataka tupa chip trh 2
Si ndo Smart hao
 
Yaani hawa jamaa wameniboa haijawahi tokea maana mara ya kwanza Tsh 500 ulikua unapata MB 500 baadae wakapunguza hadi 450 sasa juzi kati hapa ndo wamenikata upepo maana ile najiunga nakutana na MB 350 yaani nilichoka balaa.
walianza na 600MBZ mkuu, mi pia ni muhanga wa hili
 
Hakuna msemo mwingine zaidi ya "Tumekwisha" kwa sisi tunaotumia line za chuo za halotel, kwa maana hiyo nawaaga rasmi kuwa sitakuwa nanyi leo na hata milele.

Tulizoea unajiunga cha 10,000 kwa mwezi na kupewa GB 10,

Kwa sasa wamepunguza mpaka GB 6 kwa mwezi kwa Tsh 10,000

Tumekwisha sisi wazee wa Kwasadala au wazee wa Kitonga.
Du nina ka GB 4 kanaisha tar 12 Jan. Kwa taarifa hii sijui nikimbilie wapi, mambo ya kuperuzi huku unawaza kifurushi haipendezi! TTCL je?
 
Back
Top Bottom