Halotel wana network ya 4g??

Mkoa gani mkuu sema tu usiogope au sm yako haina 4g maana sio swala la laini tu hata cm nayo inatakiwa iwe na uwezo wa 4g pia.

sidhani kama nina la kuongeza hapo. Simu ni micromax Q4002
 
Hv Mwanza voda, wana 4G kweli?
Maana nlijaribu siku 1 sikuipata nshawahi itumia nlpokua Dom na Dar tu...
 
Xiaomi wana cover band nyingi sana aisee, nimegundua hilo aisee. Je nilichukua laini ya halotel kawaida nikaiweka kwa simu itapandisha mnara au mpka kuswap
Hiyo band kweny iphone utaiskia tu kweny bomba
 
Roaming inasaidia nn hua naiona na sijui umuhimu wake hebu nielekeze plz plz kipande ubongo
 
Xiaomi wana cover band nyingi sana aisee, nimegundua hilo aisee. Je nilichukua laini ya halotel kawaida nikaiweka kwa simu itapandisha mnara au mpka kuswap
Lazma uswap mkuu ndio utapata 4G otherwise itasoma 3G tu kawaida
 
Fafanua unamaanisha nn
Xiaomi wana cover band nyingi sana aisee, nimegundua hilo aisee. Je nilichukua laini ya halotel kawaida nikaiweka kwa simu itapandisha mnara au mpka kuswap

Kama redio vile ambavyo inasearch band za radio one, ama TBC fm na simu vile vile inasearch band za mitandao ya simu Kama Voda na Halotel.

Ili ukamate network ya mtandao husika inabidi simu yako iwe inasupport band ya huo mtandao.

Hizi xiaomi redmi za series ya 8 Kama note 8 na note 8 pro hazina coverage ya 4G ya mitandao yote Tanzania, Ila note 7 inayo, hivyo hata kwa xiaomi pia unatakiwa uwe makini.
 
Roaming inasaidia nn hua naiona na sijui umuhimu wake hebu nielekeze plz plz kipande ubongo
Roaming inamaanisha mtandao wa simu unaazima network kutoka mtandao mwengine. Hii hutokea pale unapoenda eneo ambalo hakuna mtandao kwenye line unayotumia lakini upo mtandao rafiki wa mtandao wako hivyo simu yako Ina roam kwenye mtandao mwengine.

Mfano ukienda Kenya na line ya Vodacom simu yako itaroam na kushika mtandao wa safaricom.
 
Note 7 iko na 7 yangu inayo
 
Je simu yangu nikiwasha roaming nikapata network kuna gharama za ziada nitakazo lipa au kutozwa je nitalipaje wakataka kweny salio la mb au lakawaida au nitakipa baadae au kabla naomba kujua kama kuna malipo ya hii roaming na yanafanyikaje.
 
ROAMING ya nje ya nchi ndio unalipia, Ila kibongo bongo hizi Roaming za TTCL na Tigo, sijui zantel na Tigo zinakuwa Ni bure tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…