Halotel internet mnakera sana, mwogopeni Mungu

Halotel internet mnakera sana, mwogopeni Mungu

Wanakera sana kinasoma H+ lakini kinazingua kudownload video yenye MB 3.1
Ubovu simu yako,,,mi nmedowloud series nzima toka SAA moja kasoro sasa hivi namalizia episode ya 22,,,,aaaagh hatel bhana sio mchex
 
Hili linaweza kuwa kweli kabisa,
Sjajua labda watumiaji wamekuwa wengi,manaake kipindi cha nyuma ilikuwa vizuri mno,saizi ni taabu kasi imekuwa ndogo sana! Nimewavumilia kwa mda sana hawa halotel.

Sasa itabidi nirudishe Majeshi nyuma-Vodacom.
Jam ipungue
 
Kwa Dar ..Halotel imebadilika sana sio kama zamani...niliachana na Voda nikaingia Halotel mwaka ulivyoisha, tangu waanze changanya data na dakika za kuongea mambo yamebadilika sana. Voda 4G wako vizuri sana tatizo lao gharama zao!
 
Ha! Kumbe nilidhani ni mimi tu, siku za karibuni ile bando ya chuo ya wiki mb 600 imekuwa km mb 10 yaani unachat whatsapp, facebook hata siku 2 haifiki eti unatumiwa ujumbe hauna mb, ukiuliza salio unaambiwa mb 0. Hivi TCRA hamna kitengo cha kuchunguza haya mavitu km hawana watu basi waajiri wataalamu hii ni zaidi ya fraud!
 
Me binafsi nadhan kwamba mitambo yao ishakuwa midogo haina supporter ya kutosha ya kustahimili idadi ya watu wanaozidi kujiunga na mtandao huo,hivyo hapo cha kusuggest ni waboreshe mitambo yao coz Watz wa sasa hata mtoto mwenye miaka 6 anatumia phn,So tusiwashukie sana
 
Ha! Kumbe nilidhani ni mimi tu, siku za karibuni ile bando ya chuo ya wiki mb 600 imekuwa km mb 10 yaani unachat whatsapp, facebook hata siku 2 haifiki eti unatumiwa ujumbe hauna mb, ukiuliza salio unaambiwa mb 0. Hivi TCRA hamna kitengo cha kuchunguza haya mavitu km hawana watu basi waajiri wataalamu hii ni zaidi ya fraud!
Sio kwel,nakuhakikishia sio kwel
 
Labda inategemea na maeneo, mimi nipo Lindi natumia Halotel mpaka vijijini net iko fresh tu.
 
hahaha uwezi kunishawishi niachane na halotel kwenye swala la internet hawana mpinzani.
 
Huku nilipo ikifika mida ya usiku kama SAA mbili hadi SAA NNE haishiki kabisa
 
Back
Top Bottom