Halotel internet mnakera sana, mwogopeni Mungu

Halotel internet mnakera sana, mwogopeni Mungu

Hawa jamaa wamekuwa too slow aisee! Siku zao zinahesabika!
 
Salama waheshimiwa? mimi naona mitandao hii inatofautiana nguvu kutokana na mkoa au wilaya uliopo. nikiwa iringa naangalia series online na mtandao haukatiki kabsaaaa (kwa kutumia halotel voda ni majanga kule!) ila ukija Dodoma vodacom ndio habari ya mjini na halotelhaiwezi hata kudownload picha, can you imagine?
 
Wanaudhi saaana huku kijijini wanasidia kutuwkea 3g ila tatizo dk 2 tuuuu mb zimeishaaa sijui wanazifyonzaaa kiaina au?
 
wew na wengine shtuka AIRTEL ndyo kila kitu kuna sim kad mpya za vyuo zinauzwa kimya kimya bila promo kama mwitaji nichek +255687620807 tena unajiunga popote na kingine wana vocha kama vocha special za chuo kama unataka kudownload kuna vocha ya.buku unapata GB10 ndani ya siku tatu na kuchonga bure sema inakuwa inatumika usiku kuanzia saa nne......umewah ona wap kwenye kuongea sasa hebu check
jinsi unavyopata dakika za mitandao yote hafu linganisha na mtandao unaoutumia

1=sh.500 dk 20
2=sh.650 dk 35
3=sh.1009. dk 60

,wap umeona hyo....
iyo ya 10 gb inauzwa 600 na sio buku...
 
Mtoa mada lazima anatoka kwenye mitandao pinzani maana alicho ongea ni tofauti kabisa
 
Back
Top Bottom