Halotel internet mnakera sana, mwogopeni Mungu

Halotel internet mnakera sana, mwogopeni Mungu

Hivi hawa Mawakala kuziuza hizo line za Wanafunzi kwa watu wasio Wanafunzi ni halali? Kama siyo halali hivi ndo kusema Management ya Halotel hawafahamu hili au imekaaje hii.!
Unaweza ukawa siyo mwanafunzi lakini ukamnunulia mdogo wako.
 
Hivi hawa Mawakala kuziuza hizo line za Wanafunzi kwa watu wasio Wanafunzi ni halali? Kama siyo halali hivi ndo kusema Management ya Halotel hawafahamu hili au imekaaje hii.!
Si halali na Halotel wanafaham sana tu lakini ni biashara mkuu bora moja kuliko 10 nenda rudi.kwani wanatoa bure si ni pesa.
 
Inatokeaje hii?
Airtel wanakibundle mshenzi cha 400 kweny Mpesa na menu yao ya kawaida wana 600 as night parck unlimited internet from midnight to 06:00. Sasa rogwa ujiunge sasa, speed ya konokono halafu wanakupa mb km 250.
Utalia ndugu yangu. Kuna siku nikijilipua na hiki kibando mshenzy kwa kudhan nitaweza kukidhi haja zangu za Gb. Kuna software ina Gb 11.25 hiv. Nilijilaumu sana ikabid nijiunge halotel gb 10 kwa 1500 uzur ilikuwa fast sana kwahiyo mzigo ukawa umeisha.
HAWA MATAPELI WANAOFA VYAO VYA BUNDLE VINAVUTIA SANA. Jiunge uone
 
Hivi hawa Mawakala kuziuza hizo line za Wanafunzi kwa watu wasio Wanafunzi ni halali? Kama siyo halali hivi ndo kusema Management ya Halotel hawafahamu hili au imekaaje hii.!
Mbona sio halotel pekee? Mitandao karibu yote wana huo mchezo. Laini za wanafunzi zinauzwa tu kitaa kwa yeyote
 
Nimeshaachana nao, kwa sasa natumia Smile, nawasubiria ttcl wasambae nijiunge nao.
 
Si halali na Halotel wanafaham sana tu lakini ni biashara mkuu bora moja kuliko 10 nenda rudi.kwani wanatoa bure si ni pesa.
If that is the case, What if many People(Non University Students) join Halotel via Simcards at lowest charges for University bundles, what will be the Implications as far as the business factors are concerned.? Will Halotel tolerate to operate its business for a long time? Was that scenario considered in their Business plan before lauching their Business.?
 
Halotel majangest,
Mkuu, labda itakuwa ni location, shida ambayo kila mtandao wanayo. Kwa kasi sioni kama ni tatizo kubwa kivile. Tena mi nina line ya mwanafunzi wa chuo na sijui nitamaliza lini kuisoma.
Halotel is the best nikilinganisha na mitandao niliyowahi kuitumia.
 
Halotel wana wiki sasa mtandao wao ni ovyo sana.
 
Infact huu mtandao wa halotel umeanza kusumbua sana wakuu nimefanya uchunguzi apo awali watumiaji walikuwa wachache asa kwenye mambo ya Internet lakini saiv watumiaji ni wengi sana kiasi ambacho mtandao umezidiwa lakini ukweli ni kwamba halotel inajitahid sana kama yenyewe ikigoma goma bac mitandao mingine aisomi kabisa au itaandika loading.....na aiendi mahali
 
Hivi hawa Mawakala kuziuza hizo line za Wanafunzi kwa watu wasio Wanafunzi ni halali? Kama siyo halali hivi ndo kusema Management ya Halotel hawafahamu hili au imekaaje hii.!
kila mtandao wanauza hizo laini kwa wasio wanafunzi siku hizi
 
Hawa halotel ni tatizo ukiweka vocha ya buku ukajiunga bando huwezi kaa dakika kumi utaona SMS kua kasi imeisha
 
Hawa jamaa walianza vizuri ila wakaanza kuzingua ghafla,nshawahama tyr
Sipendi ujinga
 
Uzuri wa haloteli ulinganishe na line zinazofanya kazi chini ya 3g na sio 4g.

Kwa walio dar halotel kafeli sana
 
Back
Top Bottom