Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,032
TTCL
Hivi Halotel ichi mnachouza Ni bandle..au Ni kitu Gani nimetafuta huu Uzi..Ili kumalizia hasira zangu..Mbona mnakera hivyoo...GB 1..Aifungui kitu chochote..Ukienda kwenye balance... Bandle linapungua..Ukiongea na customer care Hakuna anachojua..Zaid ya kufanya setting.. upumbavu mtupu.Kabisa.. Halotel kwa sasa hakuna kitu ktk internet, mwanzoni walikuwa speedy sana na 3G yao, ila sasa, speed ya kobe afadhali, bureee bureee kabisa..
Sasa hivi bando lao linayeyuka fasta sana tofauti na zamaniHivi Halotel ichi mnachouza Ni bandle..au Ni kitu Gani nimetafuta huu Uzi..Ili kumalizia hasira zangu..Mbona mnakera hivyoo...GB 1..Aifungui kitu chochote..Ukienda kwenye balance... Bandle linapungua..Ukiongea na customer care Hakuna anachojua..Zaid ya kufanya setting.. upumbavu mtupu.
Kwangu halotel ndio kila kitu internet iko fasta saana, na bundle Rafiki kwanguMkuu mbona Mimi natumia wako vixuri
Yani kwangu inakula vizuri kabisa. Nilitamani TTCL na line ninayo ila imenishinda, kwangu nimeona halotel ndio inanifaa zaidi.Sasa hivi bando lao linayeyuka fasta sana tofauti na zamani
Sent from my SM-J700H using Tapatalk