Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,463
Tutawakimbia mtabaki na net yenu mtumie wenyewe icho ki 3G chenu. kwa wale wanaotumia computer, unanunua bandle tufanye ya siku, wiki au mwezi, unachokutana nacho hata kinyonga hana mwendo wa polepole kama huu, na inakata kila wakati, ukidownload kidogo tu video haifiki popote, tafadhali, TTCL na makampuni mengine yenye faida kwa watz pigeni mbio muwafunike hawa jamaa, wanaudhi kupita maelezo.ni kama mnatuibia pesa zetu tu sasa.