Mtu unatumia Tecno Y3 halafu unataka mtandao uwe na speed? Acheni utani.







Ya kweli hayo?Tutawakimbia mtabaki na net yenu mtumie wenyewe icho ki 3G chenu. kwa wale wanaotumia computer, unanunua bandle tufanye ya siku, wiki au mwezi, unachokutana nacho hata kinyonga hana mwendo wa polepole kama huu, na inakata kila wakati, ukidownload kidogo tu video haifiki popote, tafadhali, TTCL na makampuni mengine yenye faida kwa watz pigeni mbio muwafunike hawa jamaa, wanaudhi kupita maelezo.ni kama mnatuibia pesa zetu tu sasa.
same to meMbona mi hapa nakula good time na halotel?
Sijawahi kujutia kuitumia halotel.
Mitandao mingine naona ni majanga tu
kweli kabisaKama hapa nilipo siwezi kupata 4G ya tigo na Voda lakini Halotel inapiga kazi fresh kabisa.
Halotel bado ni bomba na ndiyo ninayotumia. Yawezekana location uliko network iko chini. Please recheck!Tutawakimbia mtabaki na net yenu mtumie wenyewe icho ki 3G chenu. kwa wale wanaotumia computer, unanunua bandle tufanye ya siku, wiki au mwezi, unachokutana nacho hata kinyonga hana mwendo wa polepole kama huu, na inakata kila wakati, ukidownload kidogo tu video haifiki popote, tafadhali, TTCL na makampuni mengine yenye faida kwa watz pigeni mbio muwafunike hawa jamaa, wanaudhi kupita maelezo.ni kama mnatuibia pesa zetu tu sasa.
Mkuu samahani, unasoma darasa la ngapi vile..!!?Natumia Halotel na naifurahia sana ila natumia line ya wanafunzi