tamsana
Platinum Member
- Jan 13, 2012
- 3,831
- 8,247
Kila mtu naatumie kile anachoona kinamfaa, kwa upande wangu sina shaka na halotel, napata kile ninachokitaka, nina zaid ya mwaka sasa na sijawahi juta, nikisafiri kwenda kijijini nabrowse kwa speed ile ile tofauti na mitandao mingine. Juzi nilipanda bus kidia one kutokea arusha lilikuwa na WiFi, nilijaribu kuconect lakin sikuqeza kufanya chochote, nilkarud kwa halotel yangu nikabrowse vizuri kabisa bila shida njia nzima hadi Dar. Ushauri ni kwamba ukiona hupati kile unachotaka you just quit