halotel ina sifa moja tu kubwa ambayo wengine wote hawana..ni speed ya internet popote pale ulipo,ila mitandao mingine package za net zipo vizuri ila speed kichefuchefu, hao voda ukiwa boko tu hapo speed kobe. nilitaraji ttcl ambayo ndo mama wa mitandao ingeboreshwa na kuwa na speed zaidi ya halotel maeneo yote ili washindane, lakini wamefail,inchi kitu kikitwa tu cha taifa basi ubora kiduchu. ingia hata ofc za ttcl unakuta tu wamama wamezubaa.hawapo kiushindani.