Gulio Blog
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,056
- 4,124
Naomba kujua menu ya icho kifurushiMbona voda ofa nzuri tu 2000 GB 5 mwezi unaenjoy tu
Ishu ni intanet ipo slowMbona voda ofa nzuri tu 2000 GB 5 mwezi unaenjoy tu
2000 GB 5...!???? Menu gani hiyooo... wapii kuna hizo GB..!????Mbona voda ofa nzuri tu 2000 GB 5 mwezi unaenjoy tu
Labda wewe huko uliko mimi nazimaliza ndani ya siku mbili au moja maana nashusha movies tu kwa kas ya ajabu.Ishu ni intanet ipo slow
Nishawahi unga hilo bando alafu nikashindwa kuzitumia maana intaneti ya Voda ni janga
Unapewa Mb 5000 halafu intaneti hhamna spidi sasa utazitumiaje ?
Au utalishia mbuzi mkuu ?
Unatumia simu ya 4G ?Labda wewe huko uliko mimi nazimaliza ndani ya siku mbili au moja maana nashusha movies tu kwa kas ya ajabu.
Voda kwangu kwa sasa ndo mwisho wa matatizo halotel mewapumzisha
Hiyo inaitwa ya kwako tu!2000 GB 5...!???? Menu gani hiyooo... wapii kuna hizo GB..!????
Hapana hiyo voda naitumia kwenye sim ya 3g samsung j1 toleo la kwanza maana ndiyo naitumia kama wireless router inaigawia laptop naitumia kudownload yan ni speed kwa kwenda mbele huku pia nakuwa nashare kwenye sim yangu nyngne unaku laptop inadownload huku simu nyngne ina stream video youtubeUnatumia simu ya 4G ?
Mimi nipo karibu na katikati ya jiji (Magomeni ila voda hata kuona picha instagram tu ni shida na sio kwangu pekee
Sawa mkuuHapana hiyo voda naitumia kwenye sim ya 3g samsung j1 toleo la kwanza maana ndiyo naitumia kama wireless router inaigawia laptop naitumia kudownload yan ni speed kwa kwenda mbele huku pia nakuwa nashare kwenye sim yangu nyngne unaku laptop inadownload huku simu nyngne ina stream video youtube
Bhasi kila mtu kapewaa tofauti mzeee.. !! Maana me naona majanga tuuHiyo inaitwa ya kwako tu!
Unapiga *149*01# itakuleta menyu utagonga Namba 2-Ya kwa tu halafu itakwambia
Karibu KUFA KUNOGA
1.Dakika
2.Data
Utachagua mwenyewe sasa kama data au dakika
Data
1 Tsh 500 Mb 300 siku 10
2 Tsh 1000 Mb 1024 Sikh 7
3 Tsh 2000 Mb 5012 Sikh 30
Ttcl inaspeed kweli? Kama ilivo halotel?Huo ushindani una uzungumzia kwenye vifurushi ama??
View attachment 669811
Hii ni ttcl boom pack leta scrnshot ya vifurush vya hao halotel tuone pia