Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,266
Nimeupenda huo mtindi Ahhh..................... nimefunga Ramadhani asije kunifungulia saumu yangu....................
mzee mbona wako wengi hawa huku kwetu tena wanatumia mafuta ya nazi!Ni mazoezi na kula vizuri. Pia kwa msaada wa cream na mafuta aghali sana. Bila kusahau surgery za madola mengi ambazo mwanamke wa kawaida hawezi kuzipata na huishia kutumia mafuta ya nazi au yaliyopigwa marufuku ya kichinachina. Hakuna mwanamke wa umri huo ataonekana na ngozi ya aina hiyo bila msaada wa hayo yaliyotajwa hapo juu.
<br /><p style="text-align: center;"><img src="http://i.huffpost.com/gen/329368/HALLE-BERRY-BIKINI-PHOTOS.jpg" border="0" alt="" /></p>
Dah utasema mwanaume!!
hahaha mkuu inaelekea mwanamke mzuri kwako ni yule aliyejaza nyuma! tehetehe shepu za kibantu ndio mpango mzima!
Dah utasema mwanaume!!
Maisha yanachosha watu huku kwetu.
.........ana muonekano mzuri, kasoro ni tumbo tu hapo kwa juu mbavu zimejichora mno.
.........ana muonekano mzuri, kasoro ni tumbo tu hapo kwa juu mbavu zimejichora mno.