Halle Berry at 45...kitu mwake!!!

Halle Berry at 45...kitu mwake!!!

It takes alot of make ups, surgeries, and work outs to look that way above 40's...! Hapo inataka madola kibao...
Kuna middle class wengi wanaoekana hivyo ambao kipato chao ni cha kawaida.Ni lishe bora na mazoezi sio chini ya mara tatu kwa wiki.Tatizo afrika kula vyakula vyenye high Carbs ndio lishe bora.
 
HALLE-BERRY-BIKINI-PHOTOS.jpg

Ama kweli Mungu aliumba hapa
 
Dah anayemla huyu dada anafaidi kweli yaani mtaamuuu anaitaaaA huwezi amini ana mToto tayari!!
 
Hivi kiunoni upande wa kushoto kwake ni michirizi ya utamu au macho yangu wajameni?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom